Anayejua mpira ataelewa hili

Anayejua mpira ataelewa hili

Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
 
Tutakesha kubishana lakini chuya na mchele vimejulikana wa kwenda next stage amefahamika na wakujiandaa na lipuli amejulikana, mengine itakuwa changamsha jukwaa tu
 
Mapinduzi Balama ulimuona? Timu bado haina muunganiko basi ndiyo tatizo la Yanga ,tuna Timu ya kutikisa msimu huu
Mkuu ujuwe nilikuwa sijakomenti maana jana nimelala vyupa kinyama ila nawaambia mikia kama wametizama mpira wetu basi wanachangia kishabiki. Ile mechi mkuu ilikuwa nakasi kama ile picha ya wakorea ya Arrows. Vp wenzetu mikia kule walikwenda kucheza rede yani full kulukaluka kwenye viwanja vya watu, ukiwauliza eti mbinu za mwalimu ugenini sio kuzuri kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona wamecheza game yakueleweka.
 
Zahera pia kachangia timu kutokua na muunganiko maana anajua kasajiri kikosi kizima halafu hajakaa na Timu kambini kujua mahitaji na udhaifu wa wachezaji wake
Pamoja na yote yanga Imecheza mpira labda kama ulitizama kwa makengeza, full stop.
 
Kwa namna Timu za Tz nilivyoziangalia hasa Simba na Yanga, ni dhahiri shairi hakuna combination kwa timu zote mbili.Kila timu bado haina muunganiko na wachezaji hawako tayari kiushindani kutokana na kuchelewa kufanya maandalizi na mashindano ya Caf kuanza mapema tofauti na ilivyo kuwa awali.

Yanga bado tukijiandaa na wachezaji kuelewana Vizuri tunanafasi ya kusonga mbele tofauti na wengi wanaotubeza,pale kwenye ulinzi akiongezeka Kelvin Yondani ulinzi utaimarika vizuri zaidi,na tunaweza kupata matokeo ugenini.

Simba kama Yanga tu,niliwaangalia leo,game wangeweza kuiua Mozambique maana wale wamakonde ni wa kawaida sana japo walipata nafasi kadhaa hawakuzitumia vema, ila kwanamna Timu isivyo na muunganiko, wale jamaa nao wanaweza kuja napotelea mbali wakapata matokeo taifa.

Hii michuano itasurprise wengi,ngoja niishie hapo.

Tuwe na akiba ya maneno na wacheza rede pekee ndiyo wanasema tumepewa penaties
Vyura bhana. Yaani yanga anaweza pata matokeo ugenini na pia ud songo wanaweza pata matokeo....
Jana yanga ishu haikuwa ulinzi..wewe hujui mpira kama unavyodhani..
 
Pamoja na yote yanga Imecheza mpira labda kama ulitizama kwa makengeza, full stop.
Yanga ilipaswa icheze zaidi ilivyocheza vile yanga hawajatengeneza nafasi za wazi za kumfanya Balinya aonekane mpira ulikua unachezwa lakini ubunifu wa viungo haukuepo ndomana Yanga unaweza kusema walikua wanacheza kazi bure...kwa kutumia Home advantage ambacho ndio silaha kwa mechi za Africa Yanga wamekosea ila pia mashabiki wa Yanga mjitathmini uwanja Jana ulikua mweupe hamkuwatisha wale Rollers,kumbe mda mwingine mchukulie manara katika positive way katika hamasa viwanjani,Yanga kweli mnajaa kwenye mechi ya kirafiki mnashindwa kujaa kwenye mechi ya mashindano? Sasa mlikua mnajaa kwa ajili ya kumwonyesha Manara au kwa ajili ya Timu yenu? Simba wanaweza wakiwa wadhaifu wakiwa ugenini ila Simba wakiwa nyumbani udhaifu uwa hauonekani kutokana na Home advantage na wingi wa mashabiki ....Yani unaona Hadi Timu kubwa zinazokuja hapa zinapiga back pass zinaporwa mipira wanakua na hofu....

NB kwa Jana mashabiki mmeiangusha Yanga kuliko Yanga ilivyowaangusha nyie Yani Jana mngejaa uwanjani wale wangefanya makosa zaidi ya Yale na hata penati 3 mngepata au beki zingekua zinajichanganya nakuwapa mianya
 
Ungesema hivi kabla ya mechi za jana ningeona umeona mbali lkn baada ya mechi ya jana kila mtu anasubiri maajabu tu hakuna jipya
 
Yanga ilipaswa icheze zaidi ilivyocheza vile yanga hawajatengeneza nafasi za wazi za kumfanya Balinya aonekane mpira ulikua unachezwa lakini ubunifu wa viungo haukuepo ndomana Yanga unaweza kusema walikua wanacheza kazi bure...kwa kutumia Home advantage ambacho ndio silaha kwa mechi za Africa Yanga wamekosea ila pia mashabiki wa Yanga mjitathmini uwanja Jana ulikua mweupe hamkuwatisha wale Rollers,kumbe mda mwingine mchukulie manara katika positive way katika hamasa viwanjani,Yanga kweli mnajaa kwenye mechi ya kirafiki mnashindwa kujaa kwenye mechi ya mashindano? Sasa mlikua mnajaa kwa ajili ya kumwonyesha Manara au kwa ajili ya Timu yenu? Simba wanaweza wakiwa wadhaifu wakiwa ugenini ila Simba wakiwa nyumbani udhaifu uwa hauonekani kutokana na Home advantage na wingi wa mashabiki ....Yani unaona Hadi Timu kubwa zinazokuja hapa zinapiga back pass zinaporwa mipira wanakua na hofu....

NB kwa Jana mashabiki mmeiangusha Yanga kuliko Yanga ilivyowaangusha nyie Yani Jana mngejaa uwanjani wale wangefanya makosa zaidi ya Yale na hata penati 3 mngepata au beki zingekua zinajichanganya nakuwapa mianya
Sawa hv wakati simba incheza na mbambane msimu uliopita uwanja ulikuwaje? Yani kuna mashabiki kama nyie natamani niwaone live niwatandike makofi basi tu.
 
Mbabane tofauti na Rollers, Rollers mnajua kabisa msimu uliopita unajua kawatoa na kawapiga taifa na walikua wanacheza soka Safi kwanini msijitokeze kwenda kulipa kisasi na kuwapresharaizi kwa makelele yenu?...Simba kweli sio Kila mechi tunajaa
 
Mkuu ujuwe nilikuwa sijakomenti maana jana nimelala vyupa kinyama ila nawaambia mikia kama wametizama mpira wetu basi wanachangia kishabiki. Ile mechi mkuu ilikuwa nakasi kama ile picha ya wakorea ya Arrows. Vp wenzetu mikia kule walikwenda kucheza rede yani full kulukaluka kwenye viwanja vya watu, ukiwauliza eti mbinu za mwalimu ugenini sio kuzuri kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona wamecheza game yakueleweka.
Sijafuraishwa na kiwango cha simba tulivocheza pale Beila,, hatukuwa na kasi kabisa,, hata tunapopata kona unaona kabisa chama anajivuta kama anasubiri kupigwa picha, boko nae kiukweli alizingua kabisa,, Nyoni naye alikuwa anaweweseka kabisa,,

Yanga mlikuwa na nafasi kubwa sanaa ya kushinda ila lile goli mlilotumbukizwa mapema nadhani liliwapa ujasiri wa kufunguka,, aiseeh papy yuko vzuri[emoji109]

Ila mashabiki mmezingua sanaaa, mlikuwa wachache sanaa mbona hamchangamki mko baridiiiiii,,, ila watani mjitahidi kwenda uwanjani, mshangiliaji ni mchezaji wa 12, ila mna kazi kubwa ugenn kwa Township roller,,

Simba aiseeh jana hatukucheza ile soka,,

Ila pongezi kwa SHIBOUB[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] ule moto unazidi kuchanganya
 
Kwa mkapa si mahali salama kwa timu yeyote itayokuja kucheza na simba.

Kikosi chetu ni kile kile karibu wachezaji saba wa first eleven walihusika mwakajana bado tunao.

Hao ud songo tp mazembe aliingia kichwa kichwa akala goli tatu mwaka juzi; sisi nikinani tusiwaheshimu wapinzani wakiwa kwao. Tulijifunza mwaka Jana.

Kihulisia uwezo wa kupata matokeo away hamna uwezo huo kama Jana tu mlikuwa mnaruka ruka uwanjani.

Penati 3 ndani ya mechi mbili; hamna uwezo wa kudumkiza mpira golini mpaka msubiri mbeleko za refa
 
Mkuu kwani msimu uliopita wakati simba inacheza na mbambane mliingia mashabiki wangapi au mpira umeanza kuangalia wakati polisi Tanzania inapanda daraja.
 
Simba hii msimu huu inazidi kuimarika sioni tukipata shida tukiwa ugenini,Jana tulikua tujajiamini tunawapooza mashambulizi # Taifa kubwa
 
Kumbe Rage akukosea nyie ni mbumbumbu kuanzia kocha, benchi zima la ufundi mpaka mashabiki yani mnashabikia ujinga.
 
Sijafuraishwa na kiwango cha simba tulivocheza pale Beila,, hatukuwa na kasi kabisa,, hata tunapopata kona unaona kabisa chama anajivuta kama anasubiri kupigwa picha, boko nae kiukweli alizingua kabisa,, Nyoni naye alikuwa anaweweseka kabisa,,

Yanga mlikuwa na nafasi kubwa sanaa ya kushinda ila lile goli mlilotumbukizwa mapema nadhani liliwapa ujasiri wa kufunguka,, aiseeh papy yuko vzuri[emoji109]

Ila mashabiki mmezingua sanaaa, mlikuwa wachache sanaa mbona hamchangamki mko baridiiiiii,,, ila watani mjitahidi kwenda uwanjani, mshangiliaji ni mchezaji wa 12, ila mna kazi kubwa ugenn kwa Township roller,,

Simba aiseeh jana hatukucheza ile soka,,

Ila pongezi kwa SHIBOUB[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] ule moto unazidi kuchanganya
Soka hatukucheza vizuri: ila kwa Africa bado timu nyingi zina suffer sana kupata matokeo away. Hili jambo lipo hata kwa team kubwa kama aly ahaly, Esperance, mazembe nk.

Kikubwa nilichokiona Jana yatupasa tuboreshe safu yetu ya nyuma haswa haswa, kwani tukikutana na timu za level ya al ahaly twaweza kula 5 tena.

Hao wenzetu wana safari ngumu sana aisee hata wakipenya apo wanakutana na zesco. Ila kimehesabu ni ngumu sana kupenya,

Labda wakapewe penati tena kule, mechi mbili penati 3. Strikers hawana uwezo wa kudumbukiza mpira nyavuni. Wanaruruka kama forward yangu ya zamani ya arsenal oliver giroud
 
Kumbe Rage akukosea nyie ni mbumbumbu kuanzia kocha, benchi zima la ufundi mpaka mashabiki yani mnashabikia ujinga.
Daah we chura kichwa maji! Yani Kutoa sare ugenini kwa nature ya mpira wa Africa ambao hauna underdog ambazo Kila Timu zinatumia home advantage kasoro Yanga ambayo ni Baridiiiiiii Fc!
 
Angalia ugenini kulivyo
Screenshot_20190811-101338.jpeg
 
Mkuu ujuwe nilikuwa sijakomenti maana jana nimelala vyupa kinyama ila nawaambia mikia kama wametizama mpira wetu basi wanachangia kishabiki. Ile mechi mkuu ilikuwa nakasi kama ile picha ya wakorea ya Arrows. Vp wenzetu mikia kule walikwenda kucheza rede yani full kulukaluka kwenye viwanja vya watu, ukiwauliza eti mbinu za mwalimu ugenini sio kuzuri kwani Rollers walikuwa nyumbani kwao mbona wamecheza game yakueleweka.

Impo.... Rollers wamecheza vizuri kwa kuwa wamekutana na timu iliyokuwa inasaka matokeo....... Simba waliwain wamakondw kwa kuwa wao nia yao ni ama kushinda, ama kuto droo.... ndo maana walijaribu kuwamaintain.... hence, Ynga wana kibarua kikubwa zaidi ya simba, kwani rollers watatumia advantage ya uwanja wa nyumbani.... ingawa mpira ni dakika tisini lakini mara nyingi mtu wa nyumbani anapewa kipaumbele cha ushindi ktk probability.

Kwa hiyo jipangeni kutoa shukrani ya kushiriki.
 
Kwa mkapa si mahali salama kwa timu yeyote itayokuja kucheza na simba.

Kikosi chetu ni kile kile karibu wachezaji saba wa first eleven walihusika mwakajana bado tunao.

Hao ud songo tp mazembe aliingia kichwa kichwa akala goli tatu mwaka juzi; sisi nikinani tusiwaheshimu wapinzani wakiwa kwao. Tulijifunza mwaka Jana.

Kihulisia uwezo wa kupata matokeo away hamna uwezo huo kama Jana tu mlikuwa mnaruka ruka uwanjani.

Penati 3 ndani ya mechi mbili; hamna uwezo wa kudumkiza mpira golini mpaka msubiri mbeleko za refa

Kiukweli simba wamejifunza sana...... wamekuwa na heshima kwa mechi za ugenini.
 
Back
Top Bottom