DaahWewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Hahahaaaa! Ni huyu huyu bila kukosea Swahiba.Kuna video inatrend shabiki wa mikia analia pale taifa,nahisi atakua huyu aliecomment hii pumba
Salama mkuu.Kaka mkubwa nakusalimia tuuuu?
Nimejikuta nawasikitikia mikia waliocomment kwenye huu uzi. Wengi wao toka majuzi wamekuwa wapoole kama sio wao.
Yaani wanajiuma uma tu sasa. 😂😂😂Wamekuwa bariiiiidi kuliko ile baridi ya kikwete
Naona thread nzima umeishika peke ako aisee maisha yapo kasi sana mtaniYaani wanajiuma uma tu sasa. 😂😂😂
Hahahaaa. LolNaona thread nzima umeishika peke ako aisee maisha yapo kasi sana mtani
Yani nimefungua banda langu classic mtani lakuonesha mpira;Hahahaaa. Lol
Kwa hili nakupongeza Mtani.Yani nimefungua banda langu classic mtani lakuonesha mpira
Hahahaaaa. Nawaza tu Mtani mngefanya vizuri hiyo mipango ya kuanzisha kitu cha kuingiza pesa ingekuja saa ngapi?Sasa ntakuwa napaona kama kituo cha polisi: ntakuwa nawasiliana na dogo tu
Sasa mpaka mambo yataporudi sawa
Mipango ilianza muda tu; hii ya juzi kwa mikwara niliongeza na projecter kabisa.Kwa hili nakupongeza Mtani.
Hahahaaaa. Nawaza tu Mtani mngefanya vizuri hiyo mipango ya kuanzisha kitu cha kuingiza pesa ingekuja saa ngapi?
Wacha weee!!!Mipango ilianza muda tu; hii ya juzi kwa mikwara niliongeza na projecter kabisa.
Hahahaaa. Majanga Mtani hadi hamu ikaisha.Lakini kilichotokea.
Weka akiba ya Maneno ndugu yangu.Hivi wale wamakonde wanavyoruka ruka Simba tulivyoingia kwa kupoza mechi ndo waje wapone kwa Mkapa? Acha masihara # Taifa kubwa
Asante mkuu nami nishikie walau heka moja ili nipate cha kuvuna wakati ukiwadia.Salama mkuu.
Nipo likizo kwa sasa: naadaa mashamba kwa ajili msimu unaokuja.
Karibu handeni.
Mgema akisifiwa, Tembo hulitia majiWewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Sio kila mcheza kwao hutunzwa.Kwa mkapa si mahali salama kwa timu yeyote itayokuja kucheza na simba.
Kikosi chetu ni kile kile karibu wachezaji saba wa first eleven walihusika mwakajana bado tunao.
Hao ud songo tp mazembe aliingia kichwa kichwa akala goli tatu mwaka juzi; sisi nikinani tusiwaheshimu wapinzani wakiwa kwao. Tulijifunza mwaka Jana.
Kihulisia uwezo wa kupata matokeo away hamna uwezo huo kama Jana tu mlikuwa mnaruka ruka uwanjani.
Penati 3 ndani ya mechi mbili; hamna uwezo wa kudumkiza mpira golini mpaka msubiri mbeleko za refa
Hahahaaaaa naona Draw ya Away imewapitishaSoka hatukucheza vizuri: ila kwa Africa bado timu nyingi zina suffer sana kupata matokeo away. Hili jambo lipo hata kwa team kubwa kama aly ahaly, Esperance, mazembe nk.
Kikubwa nilichokiona Jana yatupasa tuboreshe safu yetu ya nyuma haswa haswa, kwani tukikutana na timu za level ya al ahaly twaweza kula 5 tena.
Hao wenzetu wana safari ngumu sana aisee hata wakipenya apo wanakutana na zesco. Ila kimehesabu ni ngumu sana kupenya,
Labda wakapewe penati tena kule, mechi mbili penati 3. Strikers hawana uwezo wa kudumbukiza mpira nyavuni. Wanaruruka kama forward yangu ya zamani ya arsenal oliver giroud
NAWASALIMU SAAAAANA MIKIA WOTE HUKO MLIPO. AMANI YA BWANA IWE NANYI. APUMZIKE KWA AMANI MAREHEMU ALIEFIA TAIFA.Kikubwa muwe mnahudhuria uwanjani kuipa sapoti timu yenu, sio kujivunia droo home na kuponda mwenye droo ya away
Vyura mmebaki... pambaneni sio kejeli wakati popote hamfiki.Mdharau mwiba , Mguu huota tende.Mgema akisifiwa, Tembo hulitia majiSio kila mcheza kwao hutunzwa.Hahahaaaaa naona Draw ya Away imewapitishaNAWASALIMU SAAAAANA MIKIA WOTE HUKO MLIPO. AMANI YA BWANA IWE NANYI. APUMZIKE KWA AMANI MAREHEMU ALIEFIA TAIFA.
Saizi wameelewaHaya Mikia fc, asante kwa kushiriki kapambane na kina Namungo fc, kumbuka Kagera anakusubiri kwa hamu kubwa.
Mbona tayari ndiyo wako kwenye 32? Au hapo siyo ‘popote’? Ambaye hakufikia hapo ndiye hafiki ‘popote’. Kwa wasiojua, anayetolewa hatua waliofikia Yanga ndiyo huingizwa kwenye mwendelezo wa Kombe la Shirikisho. Au na hapo pia siyo ‘popote’?Vyura mmebaki... pambaneni sio kejeli wakati popote hamfiki.
Ni popote...Mbona tayari ndiyo wako kwenye 32? Au hapo siyo ‘popote’? Ambaye hakufikia hapo ndiye hafiki ‘popote’. Kwa wasiojua, anayetolewa hatua waliofikia Yanga ndiyo huingizwa kwenye mwendelezo wa Kombe la Shirikisho. Au na hapo pia siyo ‘popote’?