Anayejua mpira ataelewa hili

Anayejua mpira ataelewa hili

Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Daah
 
Kwa hili nakupongeza Mtani.
Hahahaaaa. Nawaza tu Mtani mngefanya vizuri hiyo mipango ya kuanzisha kitu cha kuingiza pesa ingekuja saa ngapi?
Mipango ilianza muda tu; hii ya juzi kwa mikwara niliongeza na projecter kabisa.

Lakini kilichotokea.
 
Mdharau mwiba , Mguu huota tende.
Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Mgema akisifiwa, Tembo hulitia maji
Kwa mkapa si mahali salama kwa timu yeyote itayokuja kucheza na simba.

Kikosi chetu ni kile kile karibu wachezaji saba wa first eleven walihusika mwakajana bado tunao.

Hao ud songo tp mazembe aliingia kichwa kichwa akala goli tatu mwaka juzi; sisi nikinani tusiwaheshimu wapinzani wakiwa kwao. Tulijifunza mwaka Jana.

Kihulisia uwezo wa kupata matokeo away hamna uwezo huo kama Jana tu mlikuwa mnaruka ruka uwanjani.

Penati 3 ndani ya mechi mbili; hamna uwezo wa kudumkiza mpira golini mpaka msubiri mbeleko za refa
Sio kila mcheza kwao hutunzwa.
Soka hatukucheza vizuri: ila kwa Africa bado timu nyingi zina suffer sana kupata matokeo away. Hili jambo lipo hata kwa team kubwa kama aly ahaly, Esperance, mazembe nk.

Kikubwa nilichokiona Jana yatupasa tuboreshe safu yetu ya nyuma haswa haswa, kwani tukikutana na timu za level ya al ahaly twaweza kula 5 tena.

Hao wenzetu wana safari ngumu sana aisee hata wakipenya apo wanakutana na zesco. Ila kimehesabu ni ngumu sana kupenya,

Labda wakapewe penati tena kule, mechi mbili penati 3. Strikers hawana uwezo wa kudumbukiza mpira nyavuni. Wanaruruka kama forward yangu ya zamani ya arsenal oliver giroud
Hahahaaaaa naona Draw ya Away imewapitisha
Kikubwa muwe mnahudhuria uwanjani kuipa sapoti timu yenu, sio kujivunia droo home na kuponda mwenye droo ya away
NAWASALIMU SAAAAANA MIKIA WOTE HUKO MLIPO. AMANI YA BWANA IWE NANYI. APUMZIKE KWA AMANI MAREHEMU ALIEFIA TAIFA.
 
Mdharau mwiba , Mguu huota tende.Mgema akisifiwa, Tembo hulitia majiSio kila mcheza kwao hutunzwa.Hahahaaaaa naona Draw ya Away imewapitishaNAWASALIMU SAAAAANA MIKIA WOTE HUKO MLIPO. AMANI YA BWANA IWE NANYI. APUMZIKE KWA AMANI MAREHEMU ALIEFIA TAIFA.
Vyura mmebaki... pambaneni sio kejeli wakati popote hamfiki.
 
Vyura mmebaki... pambaneni sio kejeli wakati popote hamfiki.
Mbona tayari ndiyo wako kwenye 32? Au hapo siyo ‘popote’? Ambaye hakufikia hapo ndiye hafiki ‘popote’. Kwa wasiojua, anayetolewa hatua waliofikia Yanga ndiyo huingizwa kwenye mwendelezo wa Kombe la Shirikisho. Au na hapo pia siyo ‘popote’?
 
Ni popote...
 
Back
Top Bottom