Anayejua muuzaji wa jumla ya wine za dumu lita5

Kuna bwana mdogo hap kijijini naona anaziuza Sana hapa Tena anapima hata Kwa toty
Kama ulishawah ona Mahali wanauza zuga Kwa kuomba lile dumu then unalisoma Kuna namba zao hapo
Au nenda kwenye liquor stores ulizia utapewa majibu sahihi
 
Nyingine zina hangover mbaya kama K-Vant nahisi kuna kitu wanaongeza hawa watanganyika.
 
Wine zipi hizo zenye alcohol ujazo mkubwa zaidi? Wine zote ambazo nimezitumia hazijawahi kunilewesha.
 
Wine zipi hizo zenye alcohol ujazo mkubwa zaidi? Wine zote ambazo nimezitumia hazijawahi kunilewesha.
Wine zipo nyingi tu ndugu yangu- tafuta inayoitwa Trivento Malbeck- wine pendwa sana hapa duniani au tafuta inayoitwa vishinat ( Inatengenezwa Romania) ni mchanyo wa wine and whiskey.. ni tamu sana, lakini muziki wake, usiombe.
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Chile/Agentina- uone shughui yake. Binafsi, natengeneza zangu mwenyewe na huwa zinanitoa knockout.
 
Shukrani Mkuu, ngoja nizitafute hizo
 
nitaijaribu hii hizo za waswahili zinaumiza kichwa kama K-Vant halafu test ina tofauti kwa kila chupa
 
Itabidi na mimi niitafute hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…