ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni Sawa na uniulize nitapata wapi Malaya wakati huo niko buguruni.. Yaani uko dodoma na unaulizia wine????? Serious?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi natengeza zanguWine zipo nyingi tu ndugu yangu- tafuta inayoitwa Trivento Malbeck- wine pendwa sana hapa duniani au tafuta inayoitwa vishinat ( Inatengenezwa Romania) ni mchanyo wa wine and whiskey.. ni tamu sana, lakini muziki wake, usiombe.
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Agentina- uone shughui yake.
kujua zaidi soma hapa: Vișinată - Wikipedia au hapa Casillero del Diablo – The Wine LegendShukrani Mkuu, ngoja nizitafute hizo
Kweli tupu, siku moja nilikuwa na kiongozi mkubwa sana wa serikali, tukanywa chupa sita tu, alilala siku tatu bila kuamka. Tangu siku hiyo pombe aliacha kabisa na akachukia kabisa halufu ya wine. Huwa nikikutana naye tena, hataki tena kusikia mambO hayo ya wine. Yaani, alivua hadi nguo na ilikuwa ni winter, barafu zinadondoka, yeye anasema anasikia joto, siku hiyo siwezi isahahu maishani.Wine zipo za kulewesha, nishawahi kuzima kwenye sherehe ya jumuia kisa wine. Niliacha kuhudhuria jumuia kama miezi mitano hivi, haha
Mzee baba anatuma mikoani0713574314 Mpigie Huyo Yupo Hombolo Utapata Unayotaka Anazo Zote:-
Red Sweet Wine
Red Dry Wine
White Sweet Wine
White Dry Wine
Anauza Ujazo Wa Lita Tano, Tatu Moja
Utakuwa ulishakuwa kabobevu!Wine za dumu hazileweshi au mimi ndiye nimekuwa konki master?
nitaijaribu hii hizo za waswahili zinaumiza kichwa kama K-Vant halafu test ina tofauti kwa kila chupa
Ndo namba yako mchumba..?haha0715194719
Ya anaeuza wine kama Uzi unavyosema.Ndo namba yako mchumba..?haha
Mkuu hebu toa utaalam wa kutengengeneza wine konkWine zipo nyingi tu ndugu yangu- tafuta inayoitwa Trivento Malbeck- wine pendwa sana hapa duniani au tafuta inayoitwa vishinat ( Inatengenezwa Romania) ni mchanyo wa wine and whiskey.. ni tamu sana, lakini muziki wake, usiombe.
au tafuta nyingine inaitwa Casillero del Diablo ya Chile/Agentina- uone shughui yake. Binafsi, natengeneza zangu mwenyewe na huwa zinanitoa knockout.
Yeah right.Ya anaeuza wine kama Uzi unavyosema.
Mkuu nunua hicho kifaa hapa chini kina maelezo yote ya namna ya kufanya kutengeneza chupa 30. Anza na hizo kwanza link ya kwanza…Mkuu hebu toa utaalam wa kutengengeneza wine konk
Nipo Morogoro Ameshawahi Nitumia Kwa Bus La Kimbinyiko ChapMzee baba anatuma mikoani
Hii Binafsi Naikubali Sana Huhitaji Glass Nyingi, Kuna Jamaa Alikunywa Hiyo Ya KanisaniKweli tupu, siku moja nilikuwa na kiongozi mkubwa sana wa serikali, tukanywa chupa sita tu, alilala siku tatu bila kuamka. Tangu siku hiyo pombe aliacha kabisa na akachukia kabisa halufu ya wine. Huwa nikikutana naye tena, hataki tena kusikia mambO hayo ya wine. Yaani, alivua hadi nguo na ilikuwa ni winter, barafu zinadondoka, yeye anasema anasikia joto, siku hiyo siwezi isahahu maishani.
Na tatizo la mvinyo, ukinywa glass moja tu unataka ya pili na tatu… polepole inaingia, muda si mrefu dish linayumba unapoteza direction unafanya mambo ya ajabu- hutaki Tena kunusa halufu yake mpaka wiki ipite…Kwa kweli mvinyo unaadabisha- sio wa mchezo mchezo. Wanasema- drink responsibly.Hii Binafsi Naikubali Sana Huhitaji Glass Nyingi, Kuna Jamaa Alikunywa Hiyo Ya Kanisani
Alikuwa Na Gari Kufika Hapo Hazina Treni Inapiga Honi Yeye Wala Hasikii
Wine Unaweza Kuzima/Kuona Kitu Ila Ukakosa Nguvu Ya Kufanya Uondoke
KamaNyingine zina hangover mbaya kama K-Vant nahisi kuna kitu wanaongeza hawa watanganyika.
Yaani Kuliko Ununue K~Vant, Konyagi Unywe Bora Mvinyo Ila Ule Ushibe Uwe Maeneo Salama MaanaNa tatizo la mvinyo, ukinywa glass moja tu unataka ya pili na tatu… polepole inaingia, muda si mrefu dish linayumba unapoteza direction unafanya mambo ya ajabu- hutaki Tena kunusa halufu yake mpaka wiki ipite…Kwa kweli mvinyo unaadabisha- sio wa mchezo mchezo. Wanasema- drink responsibly.