Anayejua namna ya kununua views jf

Kabisa yaani. Ila ana haki ya kulalamika kwa kweli maana nyuzi zake hazipewi ushirikiano.
Asife moyo tu, maana kuna zingine hazijawahi kuchangiwa zishakuwa makaburi na member wenyewe washatoweka kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…