Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ishaenda kulipa deni mkuu..au itaongezwa kwenye yale makusanyo ya mwezi ili ziongeze idadi ya tarakimu watu wapate cheap popularity kwa mgongo waa wahanga!sijui ni lini misaada ya Bukoba itawafikia walengwa.
😀😀😀anayemshauri anampango 2020 ccm itoke
kabanwa mbavu😀😀😀
Na kama anampango basi lipo jambo!
raisi wa kumkamua mnyongeLabda wakuu mnisaidie hapa,mimi ninaposikia hili neno hua napata kizunguzungu hapa! Hua tunamaanishiwa nini hasa?
Mnyonge huyu ni yupi hasa? Huyu mnyonge ananufaikaje na Rais uwepo wa wanyonge? Naomba mnisaidie wadau pengine na mimi kama mnyonge inawezekana kuna haki naipoteza.
Sasa ili ukidhi vigezo vya kua mnyonge unatakiwa uwe na nini hasa? Maisha ya mnyonge hua yanakuaje hasa? Ni vipi sasa mnyonge mimi ninanufaika na uwepo wa Rais mnyonge?
Ha ha ha lzm mapafu yatafute pa kutanukia...kabanwa mbavu
Sasa na wewe daradara ndio nini? ELIMU ELIMU ELIMU ilikuwa sera nzuri!Ukimaya ndio nini au ndio unaandika upo kwa daradara?
DaladalaUkimaya ndio nini au ndio unaandika upo kwa daradara?
viloba ndio nini?Mmmmhhhh!!!viloba bwana