Wana jf wenzangu habari zebu.
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu leo nimeibuka tena.
Kiukweli mambo mengi yametokea ndani ya muda mfupi katka nchi yetu. Lakini sitapenda kuyaorodhesha tena hapa natumai yanaweza kunifanya niandike maneno mengi.
kwa kifupi naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh Edward N. Lowasa,akajaribu kuonge na mkubwa mwenzake Mh Rais wetu John Pombe Magufuri .
Kiukweli gari inapokwenda sipajui ila naona limeacha barabara limeingia polini,alafu dereva hana wasiwasi ila utingo na wasaidizi wengine wa gari nawaona wanajitayarisha kama vile wanataka kuruka lakini mwingine anaendelea kutuchaji nauli. Hofu yangu tairi uwenda zitapata pacha ama la tusije tukaaribikiwa njiani.
Binafsi naona kama dereva ameva mkanda wa kujitoa muanga( inshu ya mikopo ya wanafunzi,uhakiki usiyo na mwisho,inshu ya Arusha,inshu ya zenj,ajira mpya nk)
Kiukweli napendekeza Mh lowasa akaonge na mwenzie labda uwenda akasikilizwa. Jamani serious mambo ni magumu sana,tuache kufanya siasa kwa inshu serious za kitaifa.