Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huyu ni chizi ama anazo timamu maana simuelewi anacho andika hapa.
 
habar wakuu,

Matendo yake,matamko yake..hakika yanatia shaka..alichofanya kagera,shinyanga..yanafahamika..amekuwa ni rais mbabe..ninahisi anaweza fika mbali na kubadilisha katiba..ili kujiongezea muda wa kuongoza? hakika natabiri hili laweza tokea
mmmh
 
baada ya upinzani ccm wakae mkao wa kula
 
Wapambe ndio huwachochea maraisi wa afrika kubadili katiba ili kujiongezea muda wa utawala.Ushauri wangu: wapambe msianze kumwomba jpm aongeze muda wa utawala wake sababu jpm ni msikivu anaweza kuusikiliza ushauri wa kubadili katiba ili aongeze muda wa uongozi wake
 
Utashangaa tunaambiwa moja kati ya haya:

1.Kwa sasa serikali haina fedha za kugharamia uchaguzi hadi tutakapotangaziwa.

2.Hali ya kiusalama nchini si shwari hivyo tunasogeza mbele tarehe ya kuanza kampeni.

3.Rais atumia decree kubadilisha mihula ya urahisi..........

Halafu wapinzani wetu walivyo watiifu kwa mamlaka plus watanzania mashujaa nyuma ya keyboard,....tusubirie huu utabiri.
 
Joseph Kabange wa Kabila??!!
 
habar wakuu,

Matendo yake,matamko yake..hakika yanatia shaka..alichofanya kagera,shinyanga..yanafahamika..amekuwa ni rais mbabe..ninahisi anaweza fika mbali na kubadilisha katiba..ili kujiongezea muda wa kuongoza? hakika natabiri hili laweza tokea
Tuwachie kesho ndo wanajua bwana. Nyie ni watabiri tu...
 
Sidhani kama atapenda kufanya hivyo, rahà ya kuongoza upendwe na wale unaowaongoza.
 
Reactions: BAK
habar wakuu,

Matendo yake,matamko yake..hakika yanatia shaka..alichofanya kagera,shinyanga..yanafahamika..amekuwa ni rais mbabe..ninahisi anaweza fika mbali na kubadilisha katiba..ili kujiongezea muda wa kuongoza? hakika natabiri hili laweza tokea
Mtaongea sana na maneno yoote....Mtalala na kila mkiamka Magufuli ndio President hadi 2025.....kama unakereka kana uraia chukua hata uraia wa nchi mpya Sudan ya Kusini ili uendelee kuota vizuri eti Dr. Col. John Garang de Mabiour anafufuka.
 
Nahisi Hata mke wake hajui Bali Mwenyezi Mungu tu Ndiye anayejua kwani yeye yuko juu ya fahamu na uelewa wetu
 
Anatupeleka CHATO maandalizi ya kutupokea yameshaanza uwanja wa ndege wa chato ukiisha tu safari inaanza ndege za kutusafirisha zinaongezwa, hapo si powaa
 
2020 labda aibe wa kutumia jeshi na polisi na hao ma DED aliowaweka! La sivyo sijui.........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…