monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
mifumo ni mizuri ila tatizo wanaosimamia mifumo sasaWakati wa kampeni 2015 tuliambiwa tatizo la nchi yetu ni mfumo. Leo mnasema nchi ina mifumo mizuri. Tuelewe lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mifumo ni mizuri ila tatizo wanaosimamia mifumo sasaWakati wa kampeni 2015 tuliambiwa tatizo la nchi yetu ni mfumo. Leo mnasema nchi ina mifumo mizuri. Tuelewe lipi?
Si aibu kujitambulisha wewe ni MTANZANIA sema ni AIBU wewe kujitambulisha ni KIJANA toka TANZANIA.....maana sifa moja wapo ya kijana wa kitanzania kama wewe NI mmbwia VIROBANi aibu sana kujitambulisha kama mtanzania.....aibu sana,aibu kubwa,
Nchi ina mifumo vizuri kabisa....halafu inaachwa mifumo,watu wanajifanya wao ndio mifumo
Na kibaya zaidi wanakwambia CCM imekufanya masikini wakati wao ni matajiri, ina maana hiyo CCM inabagua watu wa kuwafanya masikiniHii kauli ya "masikini na wanyonge" inatia ukakasi,nikajua kwamba sisi na wao wote ni masikini tuateteana ili tuinuane,
Salalee!!
Kumbe wenzetu matajiri wa kupindukia,
Nashauri kauli mbiu ibadilike ili twende sawa
Hivi nyie jamaa niaje? Kwani ni kosa matajiri kumtetea maskini?! Trump maskini? Yaani laiti ningekuwa na pesa ya kutosha ningewapatia. Badala ya buku saba ningewaongezea buku mbili ijifunge kumi ili muache kuudhalilisha utu wenu.Na kibaya zaidi wanakwambia CCM imekufanya masikini wakati wao ni matajiri, ina maana hiyo CCM inabagua watu wa kuwafanya masikini
Hela za maafa zilifika?Hamkumuona mama Kijo lile gari alilopata nalo ajari? Kuna aliyekuwa anaelewa huyu mama anaweza kuwa anaishi maisha ya hivyo wakati yeye anaonekana mtetezi wa wanyonge?
Kujifanya unatetea wanyonge ni biashara inayolipa sanaHamkumuona mama Kijo lile gari alilopata nalo ajari? Kuna aliyekuwa anaelewa huyu mama anaweza kuwa anaishi maisha ya hivyo wakati yeye anaonekana mtetezi wa wanyonge?
HahahaaaKujifanya unatetea wanyonge ni biashara inayolipa sana
Sisi buku 7 ninyi kengeza na mamvi wanawaliapaje ?Hivi nyie jamaa niaje? Kwani ni kosa matajiri kumtetea maskini?! Trump maskini? Yaani laiti ningekuwa na pesa ya kutosha ningewapatia. Badala ya buku saba ningewaongezea buku mbili ijifunge kumi ili muache kuudhalilisha utu wenu.