Sasa mawazo yako ni mzuri ila embu karibu huku malolo tulime vitunguu uone kama utaendelea kulaumu serikali kwa ulichokisema hapo juu. Hata huyo muhamda Gadaf hakuanza tu mara moja na nchi ikakaa sawa noo. alipambana na watu makin na wakfikia pale walipo, itakuja kufika miaka ya mbele tutasema bora MAGUFULI na tutakumbuka sana kauli zake na mienendo ya kazi anayofanya kwa sasa,. cha msing ni kujiendeleza kifikra chanya katika kutafuta maisha na kipato. Hapoi ndipo utaona nchi yetu inatakiwa tufikie wapi ila sio kwa kuangalizia kwa nchi za watu kama unaangalia ,movie vile