Hata watoto wa dada yangu wananiona mbaya kisa siwasaidii kama zamani, hanifai kabisa..Hanifai kabisa kila siku bei zinaongezeka kipato kilekile.
Mi Simo, sijasema hayoKua wazi kuwa Rais magufuli hatufai.
Haa ha ha, we jamaa ujue umenifurahisha sana; so watoto wa dada yako wanakuchukia wewe au sizonje!?Hata watoto wa dada yangu wananiona mbaya kisa siwasaidii kama zamani, hanifai kabisa..
Tumpe muda mambo yanajiset taratbu anko anafanya manuva
Umeona bei ya dolla leo?Hanifai kabisa kila siku bei zinaongezeka kipato kilekile.
soon hatutochekana na Zimbabwe.Umeona bei ya dolla leo?