Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
sijatete a Bali sipendi uongoWewe ni askari muoga ndiomana unetetea kitu usichokijuwa.
mahakama wapo 380
WiZara ya Afya wapo 65
Halmashauri na wizara,idara nyingine awafiki 3000 ni uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijatete a Bali sipendi uongoWewe ni askari muoga ndiomana unetetea kitu usichokijuwa.
Hiyo inaonyesha huna uhakika na uchokisema.sijatete a Bali sipendi uongo
mahakama wapo 380
WiZara ya Afya wapo 65
Halmashauri na wizara,idara nyingine awafiki 3000 ni uongo
kama hujui unapokwenda... basi huwezi kupotea.
kuongea ni kawaida yenu, na kukosoa kila kitu, hata angewajengea lami hadi mlangoni kwako bado ungelalamika. shame on youMwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
ok nenda utumishi wa mahakama,nenda wizara ya afya ukaulize ila awafiki 3000Hiyo inaonyesha huna uhakika na uchokisema.
Hajasikia kabisaHabar za asubuh wana jamvi, natumai wengi wetu tumeamka salama na kwa wale ambao siku ya leo hii hawako vizur kiafya bas naomba mwenyez mungu awafanyie wepes .
Wana jamvi, mimi ni miongon mwa wale waliokuwa wakifuatilia sana speech ya mkulu ivyo napenda tu kuwakumbushia speech yake moja ambayo kwa hakika iliweza kuwajenga watanzania wengi sana kiiman. nanukuu iyo speech yenyewe inasema " MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU" Maana halis ya speech hii ni kwamba, Mkulu ametuaminisha kwamba atakuwa mkwel siku zote na hata mung'unya maneno dhid ya tuhuma zozote zitakazo kuwa zinamkabili mtu yeyote bila kujal din, itikadi ya vyama, wadhifa wa mtu n.k. iyo ndio maana halis ya iyo SPEECH niliyonukuu apo juu.
Sasa cha kuskitisha watanzania hao hao tuliojengeka kiiman na MKULU leo hii tumekuwa na kilio kikubwa sana juu ya kinachosadikika kuwa kuna kiongozi mwenye nyadhifa kubwa ki mkoa kuwa anatumia vyeti feki na kilio iki MKULU anakisikia cha ajabu anaacha machoz ya wa tz yanaenda na maji wakati kuna watu wameshaacha kazi kwa tuhuma kama hz, na wengine wamepoteza maisha kwa sababu za tuhuma kama hz, kwa anayefaham vzr naomba anijulishe jaman, hv mkulu anafaida gan na kiongoz uyu? nimeandika uzi huu kwa uchungu sana kama mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu na ili tuijenge tanzania mpya , tunahitaji wasom, sasa kama tutaweka vilaza nina iman hii inchi haitasonga mbele, ninaposema vilaza nadhan mkulu ananielewe kwan ni neno ambalo hata yeye alishalitumia kwa wale wanafunzi 8000 wa mafunzo maalum aliowafukuza pale Dodoma!
Kimsingi ni haki yangu kukukumbusha mkulu maana hata mm pia nina amin kuwa msema kwel ni mpenzi wa mungu na ndio maana nimeamua kukukumbusha maana huenda ukawa umejisahau kutokana na kutingwa na majukum ya apa na pale, sasa mkulu ili kutujenga kiiman wananchi wako tuendelee kukuamin na kuunga mkono jitihada zako za kupambana na MIJIZI ya aina yote ikiwemo mijizi ya taaluma bas shughulikia mapema sana suala la DAUD, baada ya kusema ayo machache naomba kuwasilisha.