Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huelewi Siasa wewe kaa utulie tukutumie kama kawaida yenu Ngazi...
 
VIWANDA

Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje

Nakubaliana na mawazo yako hasa pale unapolink mazao ya kilimo kama inputs katika viwanda tunavyotegemea kuvijenga, tatizo linakuja pale unaposema kuuza nchi za nje huku tukishindana na wengine!!! Hapa kuna suala la teknolojia ambayo viongozi wetu wanafikiria viwanda vyetu vitatumia; mara nyingi wao husisitiza na kuamini kuwa viwanda tutakavyojenga vitaajiri watu wengi hivyo kupunguza uhaba wa ajira kwa vijana, lakini ukweli usiopingika ni kwamba teknolojia ya leo duniani haitegemei tena binadamu[ kuongeza ajira] bali viwanda hutumia ROBOTS na bidhaa zao ni za quality ya juu sana ambayo sisi kushindana nao itakuwa mtihani mkubwa!!

Viongozi wetu wasiwe wanabwabwaja tu bila kufikiria kwa kina hivyo viwanda tunavyotaka kujenga vitatumia teknolojia gani ili tuweze kushindana katika ulimwengu wa leo!!!
 
Nilidhani kwa ukubwa wa nchi yetu na utajiri tulio nao hadi sasa yafuatayo yangekua yameanza kufanyima
1.Mifumo ya umwagiliaji wa kisasa wa mashamba makubwa (Irrigation system)ambao wakulima hawatategemea mvua za msimu
2.Miundo mbinu muhimu ie《inayoelekea maeneo yote muhimu ya uwekezaji wa kilimo hiki cha kisasa na umwagiliaji wa uhakika

3.Wataalamu wa kilimo cha kisasa chenye uzalishaji mkubwa wa mazao bora wakipewa training ili wasambae sehemu zote zenye tija ya kilimo kuwapa mafuzo wakulima.
4.Maandalizi ya uhakika wa soko la mazao haya ambayo hayana unyonyaji wowote kwa mkulima na bei bora bila mwingiliano wowote wa madalari.
5. MIKOPO yenye riba nafuu kwa wakulima hao ambao kwa maandalizi tajwa hapo juu mikopo hiyo italipika kwani hawatategemea mvua tuu na watakua na uhakika wa soko
6.Uwekezaji kwenye utafiti wa kilimo
7. Ruzuku ya pembejeo za kilimo, na usafirishaji wa mazao hadi kwenye masoko makubwa.

Niilitegemea haya mambo muhimu yanayo onekana kwa macho kila unapo pita mikoani yangeonekana.

VIWANDA

Nilitegemea maandalizi hayo ya kilimo hapo juu yangeenda sambamba na Ujenzi wa viwanda ambavyo vingenunua mazao hayo kutoka kila kona ya nchi na kutengeneza final products zenye ubora wa ku compete sokoni na zingine kuuzwa nchi za nje.
So hii LINK kati kilimo na viwanda ingetengeneza uhakika wa ajira nyiiiingi na endelezi

Ningeyaona haya kila sehemu ninapo safiri toka Mbeya hadi Arusha

Kigoma hadi Dar
Sasa ningetangaza rasmi kwamba naiona TANZANIA MPYA YENYE NEEMA INAKUJA NA NAAMINI BAADA YA MIAKA MITANO MAISHA YA MTANZANIA YANAENDA KUBADILIKA SANA

Natamani sana haya maandalizi yaanze
La sivyo Miaka mitano ni michache sana kudhani kwamba BILA HAYA KUFANYIKA
kwenye orodha ya viwanda tutakuta hadi biashara za wamachinga nazo zinahesabiwa kama viwanda ili mradi kuongeza namba ya viwanda.
umenena vyema mkuu. kwa akili ya yule bwana wa maganda ya korosho. hayo maono hana yuko bize tundu lisu asigombee TLS
 
Kokotani,
Umesahau wimbo wa propaganda mtaa wa Lumumba mfurahi ''Heko Rais Dokta Magufuli'' - by Skassy Kasambula & his OkestraSafariStaz(OSS) Mitwango ya Jiji Composed by Sulutani Skassy Kasambula with his Okestra Safari Staz (OSS) - Mitwango ya Jiji - Nairobi Kenya


Source: Capital Cyber
 
Kila jambo huwa na matokeo yake... Tumekuwa chini ya usimamizi wa serikali ya ccm mpk sasa ni awamu ya tano,takribani miaka 50+ sasa na ktk hiyo miaka kuna matarajio yaliyokuwepo ambayo ndio huleta matokeo ya sasa.. Je,mpaka sasa hivi tulivyo ndio yalikuwa mategemeo yetu/mategemeo ya serikali..? Kama jibu ni ndio basi hakuna shaka na serikali lkn kama jibu ni hapana shaka lzm iwepo..lkn jibu utalipata kutokana na kuchagizwa na mazingira yaliyopo kwa kuangalia mambo yalivyo sasa maana ndio matokeo ya kile kilichopandwa zamani.
Kama mambo yakienda koro ktk familia wazazi ndio walaumiwa na ndio wanaotakiwa waweke ushwari ili mambo yawe sawa..yanayoibuka sasa yamelelewa zamani! na hapa ndipo ninapouona ubaya tena wa mtu kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe!
nchi sio dini kuhubiri neno moja miaka nenda rudi!,sifa kubwa ya kiongozi ni kuongoza watu wafikie malengo yao sasa kama mahubiri ni yaleyale it means Loading...
Tatizo sio kuugundua ugonjwa tatizo ni kuutibu ugonjwa tubadilike.
 
Ugonjwa haujagundulika bado na tiba ndio kabisaa mgonjwa yuko mahututi
 
Wana Jf naandika kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, Mm ni Kada wa CCM mzuri tu ila ukweli ni kwamba mwenzenu wala sijivunii kuwa Mtz. Kama nitaonekana sio Mzalendo sawa tu, maana toka nimekuwa Mzalendo sijaona hata faida yake.. Vijana tumekuwa waoga kama nini, vijana tunaishi kwa kujipendekeza. Aku mm sijui kujipendekeza bhana. Maisha yamekuwa magumu vijana tunaleta Siasa ambazo wanaonufaika ni wachache. Vijana baada ya sote kusimama pamoja kama kundi lenye nguvu tumegawanyika. Njaa mbaya sana. Tunatetea mpaka upuuzi yaani.

1. Nimemaliza chuo mwaka wa 4 nina vyeti vzr kabisa GPA ya 4. 3 sina kazi ya kueleweka, sina mtaji.. Mara utasikia wengine hawana vyeti, wakuu wa mikoa, kama vyeti mnavyo jitokezeni basi mjibu tuhuma. Nipeni basi hata Ujumbe wa nyumba kumi jaman.
2. Mara unasikia Serikali yangu iko busy kupambana na Wapinzani.. Lissu, Lema
3. Ajira hakuna kabisa
4. Nchi inakwenda Kibabe.. Mara Bashite mara Gwajima hata sielewi yaani..
5. Nchi kama imekosa dira vile.. Kitu kidogo utasikia uchochezi.. Ona uchaguzi wa TLS.. Sasa Lisu wanamzuia kwa nn.
6. Viongozi wamekua miungu watu, hawasemwi.. Wamemkamata Manji kwa sababu ya Dawa za kulevya, leo hii ana kesi zaidi ya 4 huko mahakamani mara sio Mtz mara sijui nn.. Ha.
7. Nchi haiishi vituko yaani..Media zote zimefyata mkia, Mange Kimambi ndo amekuwa Television Ya Taifa.
 
Wana Jf naandika kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, Mm ni Kada wa CCM mzuri tu ila ukweli ni kwamba mwenzenu wala sijivunii kuwa Mtz. Kama nitaonekana sio Mzalendo sawa tu, maana toka nimekuwa Mzalendo sijaona hata faida yake.. Vijana tumekuwa waoga kama nini, vijana tunaishi kwa kujipendekeza. Aku mm sijui kujipendekeza bhana. Maisha yamekuwa magumu vijana tunaleta Siasa ambazo wanaonufaika ni wachache. Vijana baada ya sote kusimama pamoja kama kundi lenye nguvu tumegawanyika. Njaa mbaya sana. Tunatetea mpaka upuuzi yaani.

1. Nimemaliza chuo mwaka wa 4 nina vyeti vzr kabisa GPA ya 4. 3 sina kazi ya kueleweka, sina mtaji.. Mara utasikia wengine hawana vyeti, wakuu wa mikoa, kama vyeti mnavyo jitokezeni basi mjibu tuhuma. Nipeni basi hata Ujumbe wa nyumba kumi jaman.

2. Mara unasikia Serikali yangu iko busy kupambana na Wapinzani.. Lissu, Lema

3. Ajira hakuna kabisa

Nchi inakwenda Kibabe.. Mara Bashite mara Gwajima hata sielewi yaani..

Nchi kama imekosa dira vile.. Kitu kidogo utasikia uchochezi.. Ona uchaguzi wa TLS.. Sasa Lisu wanamzuia kwa nn.

Viongozi wamekua miungu watu, hawasemwi.. Wamemkamata Manji kwa sababu ya Dawa za kulevya, leo hii ana kesi zaidi ya 4 huko mahakamani mara sio Mtz mara sijui nn.. Ha.

Nchi haiishi vituko yaani..Media zote zimefyata mkia, Mange Kimambi ndo amekuwa Television Ya Taifa.
 
YAANI WEWE NDUGU YANGU MUNGU AMEKUSAIDIA UMESOMA HADI CHUO KIKUU,

MBAYA ZAIDI UMESOMESHWA KWA KODI YA SERIKALI ,

MBAYA ZAIDI UMEPEWA HADI MKOPO NA PESA ZA KUJIKIMU KIMAISHA

LEO HII UNAKUJA KULALAMIKA SERIKALI MBAYA WAKATI KUNA WENZIO HIYO NAFASI ULIYOIPATA WANAITAMANI ANGALAU WAWE KAMA WAWE
 
Hivi Kuna watu wanapata huo Muda wa kumuombea?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa najiuliza the same question
Sjui nayeye huwa anawaza hilo?

Hivi nan kwamfano apige got amuombeee....na hata ukijikaza utashndwa kujua umuombee nn haswa
 
Kwa sasa sio rahisi tukajua tunakokwenda lkn mda utafika watu watajua na kuelewa
 
Wakati unaingia madarakani nimeambiwa ulikuta bei ya Sembe ikiuzwa 1000 kwenye eneo mimi nilipo lakini sasa hivi inauzwa 1600.......

Gunia la mahindi lenye debe 6 lilikuwa linauzwa 60,000/ Sasa hivi ni 120,000/ na ndio mwaka wa pili unaanza

wewe upo busy na wakina TUNDU LISSU Kuwakamata na kuwafunga ndio raha yako ...

uko busy na Mbowe Kumkamata kila siku kumfunga hivi unataka watu waje wamle LISSU mahakamani ukimpeleka uko?.......

Hivi wananchi wa kipato cha dola moja kwa siku wanapataje faida ya kukamatwa kwa lissu na kusafirishwa kwa kodi za wananchi kutoka dodoma mpaka dar na sio mara moja ni zaidi ya mara 5 tokea uingie madarakani?...

umetengeneza bomu la unaowaita wachochezi naona limekamilika...

ukatengeneza bomu la kunyima watu ajira nalo limekamilika .....

ukategeneza bomu la kutopandisha watu madaraja na mishahara naona nalo limekamilika......

sasa unatengeneza bomu njaa nalo limekamilika.......

umeshindwa kukontrol uchumi kwa sababu ya sera zako mbovu za uchumi zisizo tabirika za kutishia wawekezaji wote wa ndani na nje na ku create political insitability ndani ya nchi kwa kuifanya siasa iwe uadui........

halafu unategemea kukua kwa uchumi wakati wa political insintability?

acha siasa za kizamani zenye kuligawa taifa pambana na hali za watu sio watu............
 
Yule mshamba wa Chato ulitegemea kufanya mazuri?akamuombe JK ushauri mtoto wakiswahili amwambie jinsi ya kuendesha nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom