[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lako hutaki kumweelewa mhe rais yeye kasema acha acha ulofaaa Fanya Kazi Kazi kazi hakuna dili wala unga wala viroba no Kazi tuuuwell inawezekana hatumuelewi lakin ajuwa kule anatupeleka maana anaijuwa njia vizuri hivyo kuingia kwake vichochoron ambako mimi na wewe hatujuwi njia isiwe ndio sababu yakusema hajuwi kule anatupeleka. Tumpe muda na kwa kuwa uchochoro anapita sisi hatuujuwi ila bila shaka tutafika na tusipo fika tutakuwa na nguvu kumwambia umetupoteza achia uskani
Nidhamu ya watumishi.imeongezeka.! Wanafiki wanajulikana na kuumbuliwa dili zimepungua.! Wauza madawa wanatengeneza timu zao za kufitisha watu kwenye mitandao. Mange kimambi ni Mungu wa upinzani..fly over inajengwa Tazara nyingine imezinduliwa ubungo leo..treni zinasafirisha zaidi mizigo kuliko malori. Tuna ndege zetu wenyewe japo ndio tunaanza.!! Wenye mimba za ENL. Wanapata kichefu chefu na kuhangaika na madhara ya mahaba pasipo kinga..! Kwao kila move ya Magufuli inawaumiza... [HASHTAG]#tunaiona[/HASHTAG] kesho yenye matumaini zaidi#Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida.
Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Hatujui tatizo la sukari kwa mfano linaondoka kwa kurekebisha viwanda vyetu na kuongeza uzalishaji wa miwa au kuruhusu sukari ya nje au tuvamie magodauni ya watu
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa?
Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi.
Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Wakati wa uchaguzi walituaminisha kuwa mgombea wao ana ujasiri wa kupambana na ufissdi kuliko yule wa Ukawa.
Mara tukaambiwa ataunda mahakama ya ufisadi huku akipiga push ups jukwaani.
Leo ndio amtetee mtuhumiwa wa vyeti eti akisema ni maneno ya mitandao?
Bado kuna wanaomkubali kwa kupambana na ufisadi?
majibu yake mkafanye kaziMtaani pesa ngumu, umefukuza watu maelfu kwenye ajira zao, wahitimu vyuo vikuu hutaki kuwaajiri na hauna mpango huo sababu kama kiongozi hufuatilii tena maendeleo ya nchi yako, wewe upo bize kufuatilia nani kasema nini, imekuwaje (Shilawadu) na wasomi wengine unawapeleka wakafanye kazi nchi jirani (Kenya) wakati hapa kwetu penyewe wanahitajika na hawatoshelezi mahitaji!! @Unakwepa kuajiri?.
My dear President:
Ni kichaa pekeyake anayeweza kuwaambia watanzania hawa waliojazana mitaani kwa kukosa ajira kwamba wafanye kazi waachane na mambo ya mitandaoni unayoyaita Umbea, fursa ziko wapi?.
Wewe unakula na kunywa bure.... Ukitaka kuamini haya kabidhi kiti uje mtaani..... Kuzaa si kazi bwana Sizonje, kazi kulea.
Forgo #Jf
Mpendwa Rais Dr shain. Naomba sana hebu weka mashine ya ukaguzi bandari ya Zanzibar kwa abiria wanaotoka DaresSalaam au wanaokwenda DaresSalaam. Inatia aibu unafungua begi wale maaskari wanaangalia mpaka machupi machafu alafu hawajavaa hata groves hii wanahatarisha Afya zao alafu pia Zanzibar ni tourism attraction unapokea mataifa mengi sana basi naomba ufunge hizo mashine.
Nimeongea na mmoja wa Askari amesema wamesema weee lakini hawasikilizwi wanaomba nasi tuwasemeee.
Hii inatushushia hadhi
Kwanza hata upekuzi wenyewe sio mzuri huwezi ona chochote wanachokikusudia kwa upekuzi ule uliopo bandarini.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Zanzibar
Mungu akubariki Dr again Rais wa Zanzibar
Ahsante kwa kuchukua hoja hii na kuifanyia kazi kwa haraka na kwa unyeti wa jambo hili.
MUSSA, nadhani ni sababu ya personality ya huyu Bwana. Huyu mtu ni wa ajabu kama alivyosema TL. Huwezi kuwapuuza watu waliokupia kura kukuweka madarakani, hii haihitaji ushauri.Yeyote anayempinga na kumshauri Bw.Magufuli basi huyo hapendi maendeleo, na atakuwa ni mwanachadema tu(In magufulis voice)