Acha ujinga! Nani anayetaka kuvuruga amani kama sio serikali hiiHuwa najiuliza haya;
1.Upinzani watapata faida gani amani ikivurugika?
2. Upinzani wanapata faida gani kusikia Amani haipo?
Tulitamani sana kuwa na aina hii ya uongozi. Watu huwa tunasahau sanaBinafsi nadhani ana nia nzuri.
Lakini sidhani anajua anakoelekea.....
Yupo yupo tu.
Anaevuruga amani humjuiii...Huwa najiuliza haya;
1.Upinzani watapata faida gani amani ikivurugika?
2. Upinzani wanapata faida gani kusikia Amani haipo?
Huyu ana stroke[emoji196] [emoji216] ya ubongo kwahiyo msameheAcha ujinga! Nani anayetaka kuvuruga amani kama sio serikali hii
Siku hizi anaombewa na wasabato
Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
walioshiba wamuombee. sisi huku mtani heri ya jana kuliko leo...
Siwezi kumuombea mtu mwenye roho mbaya.