Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Huwa najiuliza haya;

1.Upinzani watapata faida gani amani ikivurugika?

2. Upinzani wanapata faida gani kusikia Amani haipo?
 
Huwa najiuliza haya;

1.Upinzani watapata faida gani amani ikivurugika?

2. Upinzani wanapata faida gani kusikia Amani haipo?
Acha ujinga! Nani anayetaka kuvuruga amani kama sio serikali hii
 
Huwa najiuliza haya;

1.Upinzani watapata faida gani amani ikivurugika?

2. Upinzani wanapata faida gani kusikia Amani haipo?
Anaevuruga amani humjuiii...
Au unajifanya zombi[emoji84]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sizonje umekuwa ukiomba kila siku wanadanganyika wakuombee kwa mungu kwa sababu wewe ni chaguzi la mungu wakati wewe ulichaguliwa na wanalumumba na bao la mkono.

Maombi ya wazee,wamama,wababa,vijana,watoto na wafu pia wanayokuombea ndio yanafanya ufanye hayo unayoyafanya?
Kama ndivyo hamna sababu ya kuendelea kukuombea maana maombi yetu kwako yanakuwa kama laana tu.

Hayo unayoyafanya unaongozwa na mungu yupi maana maombi yetu sio hayo.
 
Seriously kabsa mtu unamwombea pogba, unataka nn zaidi maana anachokifanya sahv tuanze kumwombea maombi negative

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Nani Amuombee mtu anaewaza visasi na roho mbaya? Myb aombewe kwa shetani.

Nani amuombee kiongozi mminya uhuru?
Nani amuombee kiongozi mzugaji?
hata lumumba wanamuombea mabaya.
 
Ninyi kule mKanisani ndio mmeweka sala maalumu ya kumuombea sizonje kila Jumapili. Hamtabaki salama!

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Ukweli sito choka kumuombea Rais wangu JPM... Hakuna kitu kinachoweza kushinda nguvu ya maombi.... Tusichoke, tuendelee tu kuomba, hata kama unaona hupati majibu ya maombi yako kama unavyotaka, some time hayo maombi yako yanaweza fanya kazi hata kwa Rais jirani au familia yako. Now inabidi tuanze na kufunga
 
Hakuna jema ambalo atafanya muacheni mh.afanye yake

Sent from my Cosmos V22 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahahahahah asee jamaa fanyeni tu kuombea ndugu wa karibu jamaa anatusare maze
 
Siku hizi anaombewa na wasabato

Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom