Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio hopeless mjomba. Pambana na hali yako, acha Mheshimiwa Rais ainyooshe Nchi. Kama huoni la maana linalofanyika ruksa kuhama Nchi, ondoka tuachie Nchi yetu, mkimbizi wewe.
Mjomba?? Your left shabby foot! Nakuuliza :Hivi ukifanya mapenzi na moto huku haujanyoa nywele za mapajani unategemea nini? Masusu wee!Eti pambana! Tu-lugha twa majuha wa vijiwe vya karata mpelekee hawara yako!
 
Mi nishaanza kuhamisha wadogo zangu nchi mmoja nimempeleka Africa kusini kama fundi gereji mwingine anaenda ukraine kusoma nimemuambia atafute hata li bibi huko la kizungu aoe maana huku sio friend tena Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mwanzo niliona manyunyu ya udikteta sasa ni mvua ya udikteta kamili nchi hii
Nchi yetu ilikua ya mfano kidemokrasia leo hii imegeuka kama rwanda au zimbabwe
Wapinzani wamegeuka maadui nchi hii.

Leo hii kumegeuka ubaguzi mkubwa kwa misingi ya uchama
Wengine wakifanya mikutano ni ruksa wengine ni haramu kufanya hivyo
Ila wajue kuwa mkuki ni kwa nguruwe tu ila kwa binadamu mchungu
Nchi imekua ya kidteta hii na utawala wake wamegeuka watu wabaya na wanyanyasaji wa wananchi.

Nchi imegeuka ya wachache tu ndo wanafaidi
Halafu anataka tumuombee who are u mpaka uombewe?
Leo hii kuvunja katiba kunaonekana wazi kabisa
Dalili zote za utawala wa mabavu nchi hii zimekwisha onekana
Ni kichaa pekee atakayejaribu kukanusha kuwa eti tanzania udikteta haujatamalaki ukweli ni kuwa udikteta upo na ndo tumeingia kwenye udikteta kamili
Natoa onyo tu kwa serikali ya ccm wasidhani watatawala milele wajue kuwa karibuni maji yatazidi unga
Hatuwezi kukubali nchi yetu iliyoongoza ukombozi africa nzima kugeuka kupokea miongozo kutoka rwanda ambayo ni nchi yenye ukabila na chuki tena na mizizi ya udikteta wa kagame
Lazima watanzania tuamke tusikubali kuona katiba na sheria zikivunja na tuamke kwa pamoja kuukemea na kuuondoa huu udikteta uchwara uloshika.mizizi hapa nchini
Walaaniwe madikteta wote na alaaniwe yule dikteta uchwara mvunja katiba
Mwisho wa unyama wa yote kila mtu ataonja mita 3 kaburini
Hatutakubali nchi kugeuzwa karata ya udikteta na ubaguzi wa kichama
 
Subiri kwanza atupe Noah zetu ndo ummiminie hiki kisirani chako.

Noah kwanza makinikia baadae....

Ngoja kwanza tucheze "seduce me" kwa melody ya "zilipendwa" ... ili tujue maharage yanaweza pia kuwa kiungo cha makande badala ya mboga.
 
Tatizo umejifunika kofia ya "uchama kwanza"
Hebu jaribu kuivua hiyo kofia rafiki na uvae uzarendo kwa nchi yako,, hakika utaona hali tofauti kabisa,,
 
kwa lipi maana malalamiko yapo mengi tunashindwa kuchukua Moja.
pia Utampongeza kwa lipi/yapi
 
Sasa hiyo laana yako itamnyima nani usingizi Dunia hii wee kapuku wa Mbowe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…