Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tutajuaje kama hao ni wakenya....labda ni wantanzania wenzetu wanaoitakia mabaya nchi yetu wameamua kutumia mitandao ya kenya! Wewe hushangai...hao 'wakenya' wanavyotiririka kwa kiswahili kisicho na mawaa jambo ambalo si la kawaida?Mkuu huoni mitandao ilivyochafuka mpaka kenya?
kweli mkuu, hadi vijijini yaani.Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Wqnanchi gani? Labda waliopo JF mimi na zungumza sehemu nyingi watu wapo busy na kazi zao labda wazurulajiNaona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Basi wengine tumeona ndugu na sio huko tu, tumemuona alivyokuwa waziri wa ujenzi, waziri wa uvuvi alipunguza sana uvuvi haramu katika maziwa yetuHabari huenea kwa kasi sana mkuu,Mimi hii sijawahi kuona tangu nizaliwe,hakika kabisa
Umenena sahihi wengi walio na chuki wauza ngadaMtaachaje kuwa na hasira na utawala huu wakati mlizoea kutumia vyeti feki makazini!?
Mtaachaje kuwa na hasira na chuki wakati mlizoea kukwepa Kodi na kuibia serikali mapato!?
Mtaachaje kuwa na hasira na chuki na wakati mlizoea kupeana ajira kwa undugu na ukabila!?
Mtaachaje kuwa na chuki na hasira na wakati mlizoea kuiba hela ya umma ambayo ilitengwa kwa ajili ya maendeleo ya kila Mtanzania na kujenga mahekalu huko Mbweni n.k!?
Mtaachaje kuwa na chuki na hasira wakati "mabuzi" yenu mengi yanaisoma namba huko segerea na keko!?
Mtaachaje kuwa na chuki na hasira wakati mlizoea kwenda kufanya semina Dubai kwa hela ya serikali!?
Mtaachaje kwa mfano!?
Mjitafakari......
Mimi nilizichukia serikali zilizopita ila hii ndio naikubali.Naona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Nyie ndio lile kundi la watu wasiojulikana?
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] hahahahahWatz tu wanafiki sana unakuta watu wanaongea mbovu mbovu ila ghafla wakisikia Msafara unapita wanamwagika kama nyuki barabarani huku wakiimba nyimbo za kusifu na kushangilia ila baada ya hapo ghafla wanaanza tena kuponda....
Siyo huko tu hadi huku kwetu anakubalika sana aisee.Mbona huku hakuna wananchi waliochukia,,,sisi tuna imani na serikali yetu kama kawaida
Tena wa kiwango cha SGR mkuu.Watz tu wanafiki sana unakuta watu wanaongea mbovu mbovu ila ghafla wakisikia Msafara unapita wanamwagika kama nyuki barabarani huku wakiimba nyimbo za kusifu na kushangilia ila baada ya hapo ghafla wanaanza tena kuponda....
Hizi ni sound za mtandaoni tu na mijini, njoo kijijini kwetu utona jinsi wananchi wanavyosia utawala madhubuti wa awamu ya tanoNaona kila kona,kila mitandao wananchi wamechukia na wana hasira sana kiasi ambacho hakijawahi kuonekana tangu Uhuru
Je kiakili wananchi wameasi utawala wao?
Huko wapi?Mbona huku hakuna wananchi waliochukia,,,sisi tuna imani na serikali yetu kama kawaida