Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Tulipiga kelele sana hatoshiiiiii hamkutuelewa sasa mwajionea wenyewe!
 
Hivyo hivyo coz yaliyopita ni mabaya zaidi ya anayoyafanya
 
Duuh leo Magufuli ana Kazi JF kila Thread Inayokuja Inamwelekea Yy tu
 
Walisema Haijai Sasa Inamwagika Kwa Kwa Kuisoma Namba T 2016 CCM
 
Medeye hakuwa mwanacdm bali alikuja cdm kufuata madaraka.
ilikuaje sasa akaaminiwa chadema hadi kupata nafasi ya kugombea uspika??chadema hawana intelijensia?? au chadema walikurupuka?
 
Duuh leo Magufuli ana Kazi JF kila Thread Inayokuja Inamwelekea Yy tu
Mkuu, wala usibabaike. Hawa wote ni Team Mamvi ambao wanadhani kumshambulia humu Magufuli ndo kumpaisha Lowasa
 
Medeye hakuwa mwanacdm bali alikuja cdm kufuata madaraka.
Duh! Vipi kuhusu Lowasa? Ina maana ninyi CHADEMA mnawaacha tu watu wasio wana CHADEMA wanakuja kuchukua vyeo kwa mgongo wenu? Kweli ninyi ni mazoba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…