Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,609
Mpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??
NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.
Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?
Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.
Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.
Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.
KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??
Wewe jamaa ujue kwamba siasa ndo inaleta maendeleo au kutoleta maendeleo katika nchi,so hata kama wewe unafanya kazi unapokea cent zako unaishi vizuri ni matokeo ya wanasiasa kuachia ajira au kuachia fedha katika sekta binafsi hadi wewe ukapata hiyo kazi inayokupa kiburi but siasa ndo kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku so yatupasa tupate wanasiasa safi waliokomaa sio kama Magufuli ambae ni mtu wa masimango,visasi,ubabe na upuuzi mwingineMpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??
NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.
Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?
Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.
Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.
Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.
KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??
Halafu tambua serikali ni pamoja na Mimi mwananchi so nimeifanyia mengi ikiwemo kulipa kodi na kuifanya iendelee kutoa huduma za jamiiMpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??
NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.
Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?
Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.
Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.
Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.
KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??
Wewe kama unaakili vizuri baada ya uchaguzi ulivuta kigoda ukakaa ukasubiri maendeleo yako Magufuli ayalete kwa njia unayojua wewe.Dozi yako kichaa unayotumia naona imegoma kabisa kufanya kazi.
Matusi gani mkuu? Mkiambiwa ukweli nyie ccm mnasema matusi Mara MTU sio mzalendoMsomi hawezi toa matusi kama hayo in short wewe sio msomi
Usifikiri kila ID humu JF ndo inaendana na maisha halisi ,I think ushanielewa hadi hapoNaona umeshavuta sigara kali... hatuwezi elewana sigara kali ikipungua kichwani nieleze nitarudi tena kukusomesha mkuu!!
Taja matusi uliyoyasoma Kama umeelewa vizuri.Msomi hawezi toa matusi kama hayo in short wewe sio msomi
Kabisa Mkuu! Familia ya watu wachache tu ilimshinda ataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 50. Nilisukumizwa!
Ungejua kwanza nini maana ya maendeleo tungeenda pamoja.Wewe jamaa ujue kwamba siasa ndo inaleta maendeleo au kutoleta maendeleo katika nchi,so hata kama wewe unafanya kazi unapokea cent zako unaishi vizuri ni matokeo ya wanasiasa kuachia ajira au kuachia fedha katika sekta binafsi hadi wewe ukapata hiyo kazi inayokupa kiburi but siasa ndo kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku so yatupasa tupate wanasiasa safi waliokomaa sio kama Magufuli ambae ni mtu wa masimango,visasi,ubabe na upuuzi mwingine
Kumbe kama na wewe mwanainchi ni serikali, jilaumu kwa kutokuwa na maendeleo hilo ndilo la msingiHalafu tambua serikali ni pamoja na Mimi mwananchi so nimeifanyia mengi ikiwemo kulipa kodi na kuifanya iendelee kutoa huduma za jamii
Kuamini maendeleo yataletwa na chama fulani ni zaidi ya uwendawazimuKuamini ccm italeta maendeleo ni uwendawazimu mkubwa.
kwani hujui kuwa alitoa rushwa ya barabara ya rami kwa mzee wa konyagi kwa kumfugisha ndoa na kimada???Kwani kaachana na nkewe au kachepuka?
Ukiona raia wanaamua mambo ya maendeleo kwa hasira ujue wote ni wapumbavu.Akili ya wewe mleta uzi, raisi wako(wetu) na wana upinzani kwa ujumla wake akili zipo group moja utofauti ni mdogo sana hakuna mtu mwenye akili ya tofauti ambaye anaweza kutuletea hayo uliyo yaona kwenye video kwa sasa au kabla ya 2025 tuko mbali sana, tanzania hii ya yasasa kinacho angaliwa nikupata tu huduma za msingi za mwanadamu hizo tafiti za wanaanga bado sana. Sina hakika sana kama upinzani ungeshika dola wangeweza kuuzidi utawala wa JPM.