Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Mpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??

NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.

Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?

Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.

Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.

Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.

KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??
4c199f6073b77a66a8a1b1cb6fa065d1.jpg
 
Wewe jamaa ujue kwamba siasa ndo inaleta maendeleo au kutoleta maendeleo katika nchi,so hata kama wewe unafanya kazi unapokea cent zako unaishi vizuri ni matokeo ya wanasiasa kuachia ajira au kuachia fedha katika sekta binafsi hadi wewe ukapata hiyo kazi inayokupa kiburi but siasa ndo kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku so yatupasa tupate wanasiasa safi waliokomaa sio kama Magufuli ambae ni mtu wa masimango,visasi,ubabe na upuuzi mwingine
 
Halafu tambua serikali ni pamoja na Mimi mwananchi so nimeifanyia mengi ikiwemo kulipa kodi na kuifanya iendelee kutoa huduma za jamii
 
Dozi yako kichaa unayotumia naona imegoma kabisa kufanya kazi.
Wewe kama unaakili vizuri baada ya uchaguzi ulivuta kigoda ukakaa ukasubiri maendeleo yako Magufuli ayalete kwa njia unayojua wewe.

HIZO AKILI MIMI SIZITAKI TENA BORA NI BAKI NA UKICHAA WANGU[emoji38] [emoji38] [emoji38]
NA DOZI NASITISHA
 
Naona umeshavuta sigara kali... hatuwezi elewana sigara kali ikipungua kichwani nieleze nitarudi tena kukusomesha mkuu!!
Usifikiri kila ID humu JF ndo inaendana na maisha halisi ,I think ushanielewa hadi hapo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kabisa Mkuu! Familia ya watu wachache tu ilimshinda ataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 50. Nilisukumizwa!

Mwandushi alikuwa amejiandaa kwa mapovu ya vibaraka wa lumumba halafu wanatambulika kirahisi sana kiashiria cha Kwanzaa cha kumbaini mlumumba yeyote humu kuukuwadia ujinga wa mlumumba mwenzake atamsifia mlumumba mwenzake hata kama amejinyea kazingirwa na jeshi la mainzi
 
Nawaza tu. Siku Airport ya Chattle ikiisha ikapata jina kwa heshima kubwa kabisa.
Pombe International Airport.
Dah, hivi waarabu watatua hapo? Teh teh teh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Akili ya wewe mleta uzi, raisi wako(wetu) na wana upinzani kwa ujumla wake akili zipo group moja utofauti ni mdogo sana hakuna mtu mwenye akili ya tofauti ambaye anaweza kutuletea hayo uliyo yaona kwenye video kwa sasa au kabla ya 2025 tuko mbali sana, tanzania hii ya yasasa kinacho angaliwa nikupata tu huduma za msingi za mwanadamu hizo tafiti za wanaanga bado sana. Sina hakika sana kama upinzani ungeshika dola wangeweza kuuzidi utawala wa JPM.
 
Wewe jamaa ujue kwamba siasa ndo inaleta maendeleo au kutoleta maendeleo katika nchi,so hata kama wewe unafanya kazi unapokea cent zako unaishi vizuri ni matokeo ya wanasiasa kuachia ajira au kuachia fedha katika sekta binafsi hadi wewe ukapata hiyo kazi inayokupa kiburi but siasa ndo kila kitu kwenye maisha yetu ya kila siku so yatupasa tupate wanasiasa safi waliokomaa sio kama Magufuli ambae ni mtu wa masimango,visasi,ubabe na upuuzi mwingine
Ungejua kwanza nini maana ya maendeleo tungeenda pamoja.

Jiulize nchi hii inamiaka zaidi ya hamsini ikiwa huru na ikiwa na siasa ndani yake
Je? Hivi ilivyo ndio matunda ya siasa??
Bahati nzuri mimi nimebahatika kuishi katika vipindi vyoote vya uongozi wa nchi hii toka kupata uhuru mpaka leo, nimeyaona madhara ya vijana wengi kugeuza elimu zao kuwa deni la taifa kuwapa ajira mkuu.

Waliojitambua walijua wajibu wa elimu zao na leo hii wako mbalii vya kutosha.

Kazi zangu zilianzia mbali nje kabisa ya siasa, japo kuna miaka tulifilisiwa lakini hicho kipindi hakitukatisha tamaa
Hatukuthubuti katu wale tuliokutwa na janga hili kukaa chini nakusubiri nini wanasiasa watatufanyia.

Nje na siasa na kutegemea wanasisa wewe unajishughurisha na nini?? Hilo ndio muhimili pekee wa maendeleo yako mwisho yanakuwa ya taifa.
 
Halafu tambua serikali ni pamoja na Mimi mwananchi so nimeifanyia mengi ikiwemo kulipa kodi na kuifanya iendelee kutoa huduma za jamii
Kumbe kama na wewe mwanainchi ni serikali, jilaumu kwa kutokuwa na maendeleo hilo ndilo la msingi
 
Hapa sasa watakutana wahanga wa ajira...waliofukuziwa baba zao/mama zao toka kwa system ya pesa..wapiga dili za magendo na walio kosa mikopo vyuoni....endeleeni kudanganyana hapa...
Pambana na hali yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili ya wewe mleta uzi, raisi wako(wetu) na wana upinzani kwa ujumla wake akili zipo group moja utofauti ni mdogo sana hakuna mtu mwenye akili ya tofauti ambaye anaweza kutuletea hayo uliyo yaona kwenye video kwa sasa au kabla ya 2025 tuko mbali sana, tanzania hii ya yasasa kinacho angaliwa nikupata tu huduma za msingi za mwanadamu hizo tafiti za wanaanga bado sana. Sina hakika sana kama upinzani ungeshika dola wangeweza kuuzidi utawala wa JPM.
Ukiona raia wanaamua mambo ya maendeleo kwa hasira ujue wote ni wapumbavu.

Kwanza mi niseme tu akili za wanafisiemu na wana chagadema wote ni moja yani ya vichaa. Tofauti zao ni ndoogo mno. Yani mwanafisiemu ka kaa kavuta kiti kasubiri maendeleo kutoka kwa Magufuli mpaka leo hayajui maendeleo hayo
Mwanachagadema mpaka leo kakaa akiamini kuwa chama chaje ndio kinaouwezo wa kuleta maendeleo akasahau kuwa mpaka leo ni chama kisicho na mission wala vision.

Misingi ya vyama vya siasa tanzania ni ujinga na upumbavu wa mtanzania.

Limtu nyumba kijijini inalibomokea juu kuna bendera mpya ya ccm, si upumbavu huo

Limtu liko ndani ya chadema miaka nenda rudi lakini maamuzi ya chama yanafanywa na mtu mmoja hafu bafo linaamini demokrasia na kuletewa maendeleo si upumbavu huo??

SIJAKIONA CHAMA CHA SIASA TANZANIA CHENYE MASILAHI YA WATANZANIA, HAKIPO, NARUDIA TENA HAKIPO KAMA KIPO MNIJUZE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom