Mpaka leo mnakuja na kutambia Magufuli hafai lakini hamtwambii m badala wake awe nani??
NI UJINGA KWA MTU MWELEWA KUTEGEMEA MAENDELEO KUTOKA KWA MWANASIASA YEYOTE YULE HAPA DUNIANI.
Hakuna nchi hata moja iliyoweza kuwaajiri wasomi wake woooooote waliohitimu kutoka vyuo mbalimbali duniani?
Usomi wa mtu faida yake ni kumtatulia mtu changamoto zake, vinginevyo unakuwa ni utumwa wa aina nyingine tena.
Faida ya msomi ni kutatua changamoto za maisha katika jamii ili jamii ijivunie kusoma kwako, shida inakuja pale wewe mwenyewe unapokuwa changamoto hasi katika jamii yako.
Kuna mifano ya wasomi wachache anbao elimu zao zimetumika kutatua changamoto za jamii zao na hao hutawasikia na kelele hizi.
KILA SIKU UNALIA LIA SERIKALI IKUFANYIE NINI, WEWE UMEIFANYIA NINI TOKA UWEMO HUMU??