Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Pointless
 
Naongeza na hii pia!sababu ya kutopandisha mshahara Kwa watumishi wa umma ni ?jamaa Hana mzigoo Baba

Ova
 

Wakati tunaongea kuhusu ubadhirifu bada tunajiandaa kulipia Mabehewa hewa matrioni ya shilingi.

Tulikula za Kivuko cha 1948 na sasa tunapiga tena za vichwa vya train kwa kumlipa ASIYEJULIKANA
 
"Humanity is a very important quality you must have as a leader. If you are humble, if you let people realise that you are not a threat to them, those people will listen to you, those people will embrace you." R.I.P Nelson Mandela.
Fact
 
mimi nina imani sana na raisi wetu, tatizo hii nchi ilikuwa imeoza sana, sasa ndio anainyoosha, lazima muone tofauti, ila kwa tunaetazama mbele zaidi tunaona mwanga, tanzania ijayo itamkumbuka huyu mtu kwa jinsi atakailetea maendeleo,,,, viva magufuli, endelea kukaza
 
Mara paaah! Game linaanza," Michango ya wahanga wa tetemeko la ardhi Kagera inatumiwa kwa shughuli za serikali, hapo ndipo nliona hata kijiko kinaweza kusonga ugali
 
Tunaelekea kupunguza mafisadi wengi ili tubaki mafisadi wachache tunaoaminiana na kuchanjiwa. Tazama wizara nyeti utagundua
 
Nyie ndo wale watu ambao akili zao zimekwamia enzi za ujima
 
Na sasa hivi magufoolie kamtuma maheega kwa wairan kuomba hela
 
Hatujui kwamba ataanza kuboresha kwanza umeme ndo afwate viwanda..

Au aanze viwanda kwanza ndo afwate umeme...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii ndo Bongoland
Nikuulize tu! alivyokuwa anaomba kura alikuwa anaomba kura za nini? za kwenda kupumzika na mkewe Ikulu kwa miaka 5? unajua wajibu wa Taasisi ya urais na majukumu ya serikali kwa ujumla? umekula maharage ya wapi wewe? nakushauri wahi kwa tabibu wa afya ya akili haraka, hujachelewa!!
 
Hiv kuna mtu anategemea kitu kwa huyu Bwana???
Wapo. Unadhani wale wafaidika wa moja kwa moja wa utawala huu wanamchukia? Wanaomchukia ni wafanyakazi ambao kagoma kuwala nyongeza na wafanyabiashara ambao mzunguko wao umepunguzwa kwa kodi kandamizi
 
Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia. Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..
Simple and straight to the point...
 
Najiuliza hii awamu inajenga au inabomoa nchi? Kila siku nyumba zinabomolewa watu wanabaki bila makazi, watu wanafukuzwa/wanaachishwa, watu wanashindwa kulipa mikopo nyumba zinauzwa, biashara zinafungwa.....
 
That aint gonna happen..labda kama hawataki kura 2020
 
Yaaani ni kilio na kusaga meno saiz mungu tuongoze vyema tuifikie 2020 na utupe machaguzi bora sio kama tulivo Kosea awamu hii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…