Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndiye alisababisha ipande baada ya kawazuia kina bharesa kuagiza mbona wote tulikuwepo unafikiri ni zamani sana hadi tumesahau.Uongo gani sasa, kwani sukari haikuwa 5,000/- alipoingia madarakani!?
Kumbee? Duu tumekwishaPita ikulu ya magogoni pale ukuta uloizunguruka ferry utawakuta askari wanaolinda ikulu yooote pembezoni mwa barabara jifanye unakwepa gari ili uwe karibu nao halafu wasalimie "habari zenu"wakiweza kujibu salama mi naleft JF....wale ni wanyarwanda pure...
Hahahaha weewe sio mnyonge na ndio maana wanyonge wanampenda totally maana ndio rais waoMagufuli hafai binafsi simpendi huyu Jamaa na namchukia totally [emoji41] [emoji41] [emoji41]
hapo umenena kakaRaisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni John Pombe Joseph Magufuli,na itakuwa hivyo mpaka 2025,jifunzeni kuelewa hilo na kupambana na hali zenu.Hizi nyingine humu JF ni porojo tu.Hii bidii yenu kwenye mitandao itumieni kujiongezea kipato.FULL STOP.
Hayo ni mawazo yako,na unahaki ya kufikiri vile utaona inafaa.Kama IPO hivyo udhanivyo sasa solution ni nini?Hapa unaisema CCM.
Abiria chunga mzigo wako...
Hapa unaisema CCM.
SawaHayo ni mawazo yako,na unahaki ya kufikiri vile utaona inafaa.Kama IPO hivyo udhanivyo sasa solution ni nini?
OkNasemezana na wadanganyika aahhh samahani watanganyika wenzangu.