Dereck2020
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 368
- 304
Imefikia mpaka kuua watu kisa wamemkosoa asiyekosolewa! Nchi imefika mahali pabaya sana kwa sababu ya mtu mmoja tu! Anayeterrorize nchi nzima!
Mimi nimeshangaa sana nguvu kubwa inayotumika kunyamazisha watu awamu hii, kuanzia bungeni, vyombo vya habari,mitandaoni vyama vya siasa kupigwa marufuku mpaka mtaani ukisikika unalo
kama mkuu hana shida na ni mzalendo msafi asiye na DOA kwanini anatumia nguvu kubwa namna hii kwa watanzania.