Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wenye kumbukumbu mtusaidie hivi malalamiko ya wananchi juu ya serikali ya awamu ya nne yalianza muda gani baada ya mkwere kushika hatamu ya uongozi. I don't believe my ass, huyu muongoza nchi wa sasa yaani ndani ya miaka miwili watanganyika wamechoka nyakanyaka kila mtu akibahatika kukaa nyuma yake anamng'ong'a yule mlinzi wake ndio anamng'ong'a
 
Wew Wewe pia niwahovyosana maana hujuwi kile wakiandika.
Kama taifa kuna haja ujitafakari uondoke kimya kimya uende kule unafikiri nikuzuri...sorry
 
 
Kizazi chetu kijacho kikija kuskia haya mambo yalikuwa yanatokea toka tupate uhuru watatuona mapimbi balaa
 
Wew
Wewe pia niwahovyosana maana hujuwi kile wakiandika.
Kama taifa kuna haja ujitafakari uondoke kimya kimya uende kule unafikiri nikuzuri...sorry

Sawa mi nakubaliana na wewe ni wa hovyo kashfa ya mhongo inatotafuti gani na ya mnyeti tena aliekubali kutumia pesa kuhonga watu?

Baadhi ya hotuba ya mwalimu nyerere alisema kuna wazir flan huko england alitimuliwa kisa kaonekana na mwanamke mzinzi achilia mbali mnyeti aliekiri kutumia pesa kuhonga watu akiwa kiongozi wa umma.
 
Rwanda na Uganda ni wale wale tu wanaamink ktk nguvu sio hoja na upendo kama mshikamano wa Taifa.
Basi hamia Kenya hapo, si gharama sana, kuna Zambia, Mozambique.
Hamia huko mkuu.
 
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye maajabu mengi duniani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…