Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wenye kumbukumbu mtusaidie hivi malalamiko ya wananchi juu ya serikali ya awamu ya nne yalianza muda gani baada ya mkwere kushika hatamu ya uongozi. I don't believe my ass, huyu muongoza nchi wa sasa yaani ndani ya miaka miwili watanganyika wamechoka nyakanyaka kila mtu akibahatika kukaa nyuma yake anamng'ong'a yule mlinzi wake ndio anamng'ong'a
 
Wew
Kwa sasa tuna Taifa la hovyo sana unamfukuza muhongo na simbachawene kwa kashfa za matumizi mabovu ya ofisi za umma unamteua mnyeti kuwa mkuu wa mkoa kisa waliotoa habar wanatoka upande ambao hutaki kuusikia hili ni jambo la ajabu mno tena linalitia aibu taifa kiongozi ulieapa kuongoza kwa misingi ya sheria,haki na utu leo unageuza Taifa mali yako kauli na matendo yako ndo sheria sijui mnashangiliaga nini kuushinda upunzani ktk chaguzi mbalimbali ikiwa uwepo wao hautakiwi kwa mawazo ua hata kushiriki ktk nyanja mbalimbali za maendeleo ya Taifa hili kwa nini usifutwe kuokoa upotevu wa pesa zinazotolewa kama ruzuku?

Kuna vitu ukivifikiria kwa mapana na marefu vinaleta ukakasi mkubwa mno ndio mana kuna kiongozi mkubwa wa Taifa hili alihitaji sana kuombewa alishayajua matatizo yake huwezi ukiliongoza Taifa kwa kuligawa kwa itakadi za uvyama kiaisi hiki hili linaleta mahusiano mabovu miongoni mwa watanzania hizi nyufa zinazidi kutatuka kwa kasi kubwa mno kinachoongelewa na kiongozi wetu si matendo ayafanyayo amekuwa na mtu wa kuangalia ni nani wa kumshughulikia muda unavyozidi kwenda anazidi kupoteza imani na matumaini waliyokuwa nayo watanzania kwake.

Vitendo vya rushwa ni vigumu kufutika na vitaongezeka kwa kasi hasa kwa wale wanaovitumia kumfurahisha yeye.
Wewe pia niwahovyosana maana hujuwi kile wakiandika.
Kama taifa kuna haja ujitafakari uondoke kimya kimya uende kule unafikiri nikuzuri...sorry
 
Kuna vitu ukivifikiria kwa mapana na marefu vinaleta ukakasi mkubwa mno ndio mana kuna kiongozi mkubwa wa Taifa hili alihitaji sana kuombewa alishayajua matatizo yake huwezi ukiliongoza Taifa kwa kuligawa kwa itakadi za uvyama kiaisi hiki hili linaleta mahusiano mabovu miongoni mwa watanzania hizi nyufa zinazidi kutanuka kwa kasi kubwa mno kinachoongelewa na kiongozi wetu si matendo ayafanyayo amekuwa na mtu wa kuangalia ni nani wa kumshughulikia muda unavyozidi kwenda anazidi kupoteza imani na matumaini waliyokuwa nayo watanzania kwake.

Vitendo vya rushwa ni vigumu kufutika na vitaongezeka kwa kasi hasa kwa wale wanaovitumia kumfurahisha yeye.
 
Kizazi chetu kijacho kikija kuskia haya mambo yalikuwa yanatokea toka tupate uhuru watatuona mapimbi balaa
 
Wew
Wewe pia niwahovyosana maana hujuwi kile wakiandika.
Kama taifa kuna haja ujitafakari uondoke kimya kimya uende kule unafikiri nikuzuri...sorry

Sawa mi nakubaliana na wewe ni wa hovyo kashfa ya mhongo inatotafuti gani na ya mnyeti tena aliekubali kutumia pesa kuhonga watu?

Baadhi ya hotuba ya mwalimu nyerere alisema kuna wazir flan huko england alitimuliwa kisa kaonekana na mwanamke mzinzi achilia mbali mnyeti aliekiri kutumia pesa kuhonga watu akiwa kiongozi wa umma.
 
Rwanda na Uganda ni wale wale tu wanaamink ktk nguvu sio hoja na upendo kama mshikamano wa Taifa.
Basi hamia Kenya hapo, si gharama sana, kuna Zambia, Mozambique.
Hamia huko mkuu.
 
Kwa sasa tuna Taifa la hovyo sana unamfukuza muhongo na simbachawene kwa kashfa za matumizi mabovu ya ofisi za umma unamteua mnyeti kuwa mkuu wa mkoa kisa waliotoa habar wanatoka upande ambao hutaki kuusikia hili ni jambo la ajabu mno tena linalitia aibu taifa kiongozi ulieapa kuongoza kwa misingi ya sheria,haki na utu leo unageuza Taifa mali yako kauli na matendo yako ndo sheria sijui mnashangiliaga nini kuushinda upunzani ktk chaguzi mbalimbali ikiwa uwepo wao hautakiwi kwa mawazo ua hata kushiriki ktk nyanja mbalimbali za maendeleo ya Taifa hili kwa nini usifutwe kuokoa upotevu wa pesa zinazotolewa kama ruzuku?

Kuna vitu ukivifikiria kwa mapana na marefu vinaleta ukakasi mkubwa mno ndio mana kuna kiongozi mkubwa wa Taifa hili alihitaji sana kuombewa alishayajua matatizo yake huwezi ukiliongoza Taifa kwa kuligawa kwa itakadi za uvyama kiaisi hiki hili linaleta mahusiano mabovu miongoni mwa watanzania hizi nyufa zinazidi kutatuka kwa kasi kubwa mno kinachoongelewa na kiongozi wetu si matendo ayafanyayo amekuwa na mtu wa kuangalia ni nani wa kumshughulikia muda unavyozidi kwenda anazidi kupoteza imani na matumaini waliyokuwa nayo watanzania kwake.

Vitendo vya rushwa ni vigumu kufutika na vitaongezeka kwa kasi hasa kwa wale wanaovitumia kumfurahisha yeye.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye maajabu mengi duniani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom