kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Tatzo mlizoea kuishi kwa mazoea ndio maana mnakosa mbinu mbadala na hamtakua na mbinu mbadala za kupambna na Dr MAGUFULI kamwe MAANA ndani ya nchii kwa sasa hakuna upinzani unaojitambua kabsa zaidi ya kutegemea kushamili kupitia mapungufu ya CCM na CCM ya kipindi hiki ni tofauti kabsa.....So KIZAZI cha KUINDOA CCM madarakani si hiki kilichopo CDM kwa sasa....Kipindi cha kampeni alipokuwa anasafiri kwa gari sisi tulisema anaogopa kupanda helkopta,lakini ile ni dalili kuwa ni mbishi na anapoamua lake hasikilizi mtu,ikafikia akapiga push up jukwaani tukasema aah rais wa push up ile ilionyesha kuwa yupo tayari kwa lolote na haogopi kelele zenu na atapambana peke yake,akamalizia na gwanda za jeshi,tukaulizana uhalali yeye kuvaa zile gwanda,ile ni ishara kuwa serikali yake itaendeshwa kijeshi na atakaeleta mchezo atashughulikiwa,mwisho akakutana na majaji hapo sasa ndio watu watafungwa sana dalili zimeshaonyesha kuwa maandamano na mikutano imepigwa marufuku,mpaka sasa upande wetu umeonekana kuchoka mapema bila kuwa na hoja za maana,mfano mtu tuliemtegemea kwa hoja anakuja na hoja ya raisi alikwenda rwanda kujifunza kudhibiti upinzani,lazima tukae chini tutafute mbinu mpya tusisubiri kama zitto alipoomba ccm mdhibiti no lazima ipatikane mikakati bila ya hivyo kweli tutamwita majina yote fashist,dikteta lakini ameziba pamba anafanya msiyoyataka,na kumwita mtu majina mabaya ni dalili ya kushindwa
kurudi nyuma kujipanga si kosa,tulishindwa kusoma dalili mapema kabisa.
Kwani ni gari ya mtumba. .... !!? Hii safari inahitaji Brand new car!!!Mi nawashangaa sana mnaolia lia...subirini mpaka mwakani ndo tutajua tunaelekea wapi..ndo kwanza anafanya service ya gari mnalia..akianza safari je ?<br /><br />Wekeni siasa pembeni tuijenge nchi yetu.
Na bado akisikia jina UDOM anapata stress akimkumbuka bintiye.Hahaha!Na bado...kile kiti kina mwenyewe.
Kwakuwa 'mabavu' yalitumika,hizo ndio athari zake.
Utawala wa mabavu hupingwa kila kona.
Kuna ufisadi uliopitiliza kama ule wa Nigeria? Lakini mbona Buhari anapambana nao kwa mafanikio makubwa sana na fedha zilizo nje zinarudi bila misuguano na mihimiliingine kama hapa?Anachopitia ni matokeo na gharama ya kuamua kupambana na mafisadi kwa vitendo...uzuri ni kwamba anafahamu vizuri ugumu wa vita hii na alishajitoa sadaka...kaziyako wewe ni kumuombea tu
Ukizungumzia suala la elimu uwe na aibu upande wenuNa bado akisikia jina UDOM anapata stress akimkumbuka bintiye.Hahaha!
Kwanza ile siku ya kwanza tulipombatiza Baba J tu ,JF ilishambuliwa na Kwenda offline
Bado ule mpango wa kuleta machapisho yake yeye mwenyewe (achana Div IV ya bintiye) ya PhD uko palepale .Tutayachambua kama karanga kuthibitisha zaidi kuwa watoto wa kike Genes za IQ huchukua wapi kama walivyosema wanasayansi
I cab smell the uprisingNa bado...kile kiti kina mwenyewe.
Kwakuwa 'mabavu' yalitumika,hizo ndio athari zake.
Utawala wa mabavu hupingwa kila kona.
Ha ha ha, tulia mkuu watu wanamzungumzia mtu mmoja at a time. Ngoja tumalize hili la huyu ndio tutakuja na wengineUkizungumzia suala la elimu uwe na aibu upande wenu
vita ndio imeanza na wanyonyaji. ushindi ni wazi. baada ya kujeruhiwa round ya kwanza ya mapambano mmekuja na mbinu ya propaganda ya uongo kwa kuwakodi wanasiasa wapinga maendeleo kama zzk eti wanapigania demokrasia. wakati wa jk walidai ni dhaifu huku akiwatizana na ufisadi ukikomaa nchini. jpm ameamua kupiga vita ufisadi kwa vitendo. kina zzk na wapinzani eti wanahamaki kwa niaba ya mafisadi.Na hivi sio mwanasiasa wala sio mwanadiplomasia an kazi sana na kubwa mno! Nchi imegoma,kodi zinashuka kila akigusa anaharibu, wafanyabiashara wame slow down,wengine hawapitishi Dar mizigo yao, mapato yanapungua kila uchwao! Kazi anayo! Ameambiwa atumie busara! Busara ni pamoja na kujipanga upya awaite wafan biashara aongee nao anataka nini? Ili wao waende nae sawa mizigo ipite Dar port!
Huwezi kukwepa kwa tuliopita shule tunajua namna ya kuipata PhD hiyo siyo sandakalawe , na ina principle zake ,etii kuchambua maandiko my foot , maandiko yatachambuliwa kwa misingi ipi kwa format ya kuandika thesis au kwa nini ? Hivi vitu siyo vya kisiasa Ni vya kitaalam mwisho wa siku mtalaumu jopo na chuo kilichompa PhD na hapo ndipo utata utakapoanza na mshindi atabaki yeyeHa ha ha, tulia mkuu watu wanamzungumzia mtu mmoja at a time. Ngoja tumalize hili la huyu ndio tutakuja na wengine