Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania kama bendera...hawana misimamo binafsi bali uelekeo wa upepo
Magufuli ana matamanio makubwa kwa nchi hii lakini njia azitumiazo mara nyingi si sahihi na anapoharibu zaidi ni kujiweka "One man army"
Hata akishindwa ila uthubutu wake katika yale yaliyowashinda wanasiasa wenzie, bado ni funzo tosha kwetu na kwa watakaomfuatia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watz wakikuamulia utaomba poo.Na bado akisikia jina UDOM anapata stress akimkumbuka bintiye.Hahaha!
Kwanza ile siku ya kwanza tulipombatiza Baba J tu ,JF ilishambuliwa na Kwenda offline
Bado ule mpango wa kuleta machapisho yake yeye mwenyewe (achana Div IV ya bintiye) ya PhD uko palepale .Tutayachambua kama karanga kuthibitisha zaidi kuwa watoto wa kike Genes za IQ huchukua wapi kama walivyosema wanasayansi
vita ndio imeanza na wanyonyaji. ushindi ni wazi. baada ya kujeruhiwa round ya kwanza ya mapambano mmekuja na mbinu ya propaganda ya uongo kwa kuwakodi wanasiasa wapinga maendeleo kama zzk eti wanapigania demokrasia. wakati wa jk walidai ni dhaifu huku akiwatizana na ufisadi ukikomaa nchini. jpm ameamua kupiga vita ufisadi kwa vitendo. kina zzk na wapinzani eti wanahamaki kwa niaba ya mafisadi.
Definitely [emoji111][emoji111]I cab smell the uprising
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Definitely [emoji111][emoji111]
Ameshawashinda ndio maana wanatafuta huruma kwa wananchi alafu wakirud kwa wananchi , wanamuelewa sana Magufuli
Na bado akisikia jina UDOM anapata stress akimkumbuka bintiye.Hahaha!
Kwanza ile siku ya kwanza tulipombatiza Baba J tu ,JF ilishambuliwa na Kwenda offline
Bado ule mpango wa kuleta machapisho yake yeye mwenyewe (achana Div IV ya bintiye) ya PhD uko palepale .Tutayachambua kama karanga kuthibitisha zaidi kuwa watoto wa kike Genes za IQ huchukua wapi kama walivyosema wanasayansi
Ukizungumzia suala la elimu uwe na aibu upande wenu
User name yako tu lazima ili reflect unachozungumzakwa viakili vyako unadhani magu ni rais wa ccm na ndo maana unaona kuna rais wa upande mwingine! kama raia wenyewe anaowaongoza ndo kama wewe ama kwel kaz anayo
User name yako tu lazima ili reflect unachozungumza
Itakuwa ni maajabu ikitokea siku moja ukapongeza lolote lililo fanyika kwenye serikali hii ya awamu ya tano nitashangaa sana.Pamoja na demokrasia kubakwa waziwazi mwaka jana na rais wa kulazimisha kupatikana, Tanzania bado inajikuta kwenye mkwamo watangu enzi!!
Wachache kati ya watanzania waliokuwa na matumaini kidogo na huyu Magufuli sasa wanaanza kujionea wenyewe matumaini yao yanavyodidimizwa!!
Ilianza na sukari na wiki hii tumehamishia maumivu yetu kwenye mafuta ya taa!! Ugumu wa maisha kwa wanyonge bado unaendelezwa kwa kasi mno huku aliyejinadi kuwa ni sadaka kwa watanzania akikosa kabisa suluhu ya kweli ya masahibu haya!!
Ameonyesha kuwa ni Rais asiyejiamini kabisa, rais asiyeweza lolote, Rais asiyekuwa tayari kuvumilia maoni tofauti kwa kuwa anajijua HAWEZI!!
Ni masikitiko yangu kwamba inabidi tuchelewe tena kwa miaka mingine mitano zaidi ndipo tupate nafasi ya chaguzi nyingine ambayo pia ina kila mwonekano kuwa itakuwa UCHAFUZI!!
Mungu mwenye enzi yote okoa waja wako wa Tanzania!!
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Ni hivi , uongozi mkubwa kama urais ni karama kutoka kwa Mungu , karama hii hailetwi na vifaru .Pamoja na demokrasia kubakwa waziwazi mwaka jana na rais wa kulazimisha kupatikana, Tanzania bado inajikuta kwenye mkwamo watangu enzi!!