Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
MKUU HUWEZI KUJUA UBORA AU UDHAIFU WA KITU KAMA UNACHO KIMOJA.
NA UHAKIKA WA 100% LEO MSOGA APAMBANISHWE NA CHATU KWENYE UCHAGUZI HATA WAIMBA MAPAMBIO WALIOPO HAPA JUKWAANI WATAMUUNGA MKONO MSOGA.
Wakiamini msoga ataruhusu mianya?
 
Hapo Ndo nashindwa kuwaelewa wanasiasa. Tuliaminishwa kikwete dhaifu kuliko mtu yeyote tz leo hii tunaambiwa kuna mtu dhaifu mara saba yake. Naenda zimbabwe

Ukifika Zimbabwe Msalimie Mugabe
 
mwanaume unaogopa maneno !!
kkkkk
tena unatumia na risasi juu.
 
Awamu hii mtawehuka mpaka basi. Pole sana.
Ila naona hii ndiyo mmeona kuwa grease yenu.
Endelea kukaza Mr President JPM Mpaka hawa maduduwasha kwa kisingizio za upinzani yabweke ile staili ya mbweha.
Enyi nyumbu wa ufipa ninani aliyewaroga?
 
Okwi Boban nakuuliza tu mkuu, hivi huyu Magufuli amewafanya nini ENYI watu wa CHADEMA mbona mnamchukia sana?

Nawasihi muache maisha ya kupiga dili yamepitwa na wakati.
 
uko sahihi mkuu maana hapa duniani kna watu mana tabia ya kuchukia vitu vizuri. tangu lini mjinga akampenda mwenye akili
MKUU KUNA TOFAUTI KUBWA SANA KATI YA MJINGA NA MPUMBAVU.
1.WAPUMBAVU NI WATU AMBAO HAWATAKUJA KUELIMIKA NA KUACHA UPUMBAVU WAO.
2.MJINGA YEYE AKIELEWESHWA HUELEWA NA KUACHA UJINGA WAKE.
KWA JAMAA YAKO HUYO UNGETUMIA NENO MPUMBAVU INGEPENDEZA SANA.
 
Hivi ukiulizwa msingi wa hii pumba yako sio ajabu ukajibu ni kuzuia maandamano na bunge live hapo ndio huwa nawakubali Nyumbu kwenye ufahamu.
Na wewe ukaulizwa umetapika nini hiki si ajabu ukajibu ni kwa sababu JPM ni mzalendo, hapo ndipo utaelewa akili ndogo ilivyo sumu
 
Hapo Ndo nashindwa kuwaelewa wanasiasa. Tuliaminishwa kikwete dhaifu kuliko mtu yeyote tz leo hii tunaambiwa kuna mtu dhaifu mara saba yake. Naenda zimbabwe
Kwenye mada hiyo kipi siyo kweli? Au ndo ukichwa maji tu. Kama uko vizuri upstairs sema point hata moja ambayo siyo kweli hapa hapa
 
Kwenye mada hiyo kipi siyo kweli? Au ndo ukichwa maji tu. Kama uko vizuri upstairs sema point hata moja ambayo siyo kweli hapa hapa
Acha kukurupuka. Sijasema km ni kweli au ni uongo. Nimesema siwaelewi wanasiasa mana wanakuja na kauli za kuaminisha watu jambo Halaf Baadae wanalikana jambo hilohilo. Usichoelewa nini hapo?? Moron
 
Pumbavu zako usitelete hasira zako za kutumbuliwa sababu ya vyeti fake,shenzi type. Millie huyu nanihi wako km itasaidia kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…