Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
weak people revenges. Strong people forgives. intelligent people ignores. Hapo unaweza kujua jpm yuko wapi
 
Pumbavu zako usitelete hasira zako za kutumbuliwa sababu ya vyeti fake,shenzi type. Millie huyu nanihi wako km itasaidia kitu.
ivi baada ya upuuzi wa vyeti feki kuna ajira elfu 17 zishatangazwa kufidia walio tumbuliwa kwa vyeti feki

upuuzi tu
 
Account fake zinawabeba sana!!! Kama wewe ni mwanaume wa shoka ungeandika kwa kutumka id halisi ama jina lako halisi..... Dhaifu ni wewe mara trilion unajifanya unaongea ukweli kumbe wew bonge la kunguru
 
Okwi Boban nakuuliza tu mkuu, hivi huyu Magufuli amewafanya nini ENYI watu wa CHADEMA mbona mnamchukia sana?

Nawasihi muache maisha ya kupiga dili yamepitwa na wakati.
Madili hata sasa yanapigwa.
Na wengine wanamsifu JPM na CCM sijui kama ni kwa dhati au ni unafiki?
 
Kama kawa kama dawa. Pita ndani ujipatie simu yenye watsap fesibuku na twita kwa garama ya elufu kumi na ine tu. Karibuni sana wateja
 
Jakaya atusamehe saba mara sabini. Dhaifu original yupo hekaluni sasa. Come to think of it, JK alikuwa dhaifu pia lkn huyu tuliyenaye kwa sasa UDHAIFU umempenda zaidi.Mtu anayeamini HIRIZI kamwe hawezi kuwa kiongozi ,sana sana atakuwa mtawala tu.
 
Kwenye mada hiyo kipi siyo kweli? Au ndo ukichwa maji tu. Kama uko vizuri upstairs sema point hata moja ambayo siyo kweli hapa hapa
HANA UBAVU MKUU TENA HAKUNA CHA UZALENDO HAPO.
 
- Vyuoni walinyimwa mikopo, wamesota, kusoma kwa shida kubwa mpaka wakamaliza

- Wamemaliza ajira zote umezima, wamekosa ajira wakasota tu mitaani

- Baada tu ya kusota wakaamua tu kufanya kazi yoyote watakayopata. Wakapata vibarua kwenye makampuni binafsi wakafanya kazi kwa kujituma ili angalau baada ya muda wafungue miradi ya ndoto zao hata kama wanajua watabanwa vile vile

- Baada ya kupata angalau pesa kidogo MIFUKO YA HIFADHI ya JAMII umeifunga mifuko hiyo na Pesa zao hawapewi tena

- Hivi unataka hasa vijana wa kitanzania waishi vipi ?
 
Siku hizi hata wanenguaji hawapo salama bwana mkubwa ameshasema lazima tuishi kama mashetani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…