Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Na takwa la mikutano na maandamano ni la Rais au ni takwa kisheria? Mbona Rais kazuia?
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli
 
Pole!! Kuna kitu naweza semaa!! Kitatimia but naogopa.....
Ref:ID yangu
 
Pendekeza nini kifanyike? Mbowe angelifanya/ afanye nini sasa, leo au kesho with immeadiate effect!
 
Kunywa sumu, bado ana miaka nane!
Endelea kushikiwa akili na Da Mange, wewe kwenda kufungulia miguu kila mtu leo mambo yamekuwa tight sababu ya ugawaji wako unataka kutafuta wa kumtupia lawama zako?? Pambana na hali yako, umeyachagua mwenyewe hayo maisha. Shule si ulikuwa unagawa tu u***, pambana.
 
Hapana wapo sahihi!!
Kila jambo hutokea kwa kusudi lake!!
Kinachofanya AMANI ya Tanzania IDUMU!,
NI MAOMBI YA WATU WA MUNGU!!
Na wala siyo kingine!!
Kuna watu wanaliombea sanaaaaa hili Taifa!.Na MUNGU anawajibu!!.
Also mzee bujibuji
MUNGU anakusudi ZURI Na Tanzania!!.
Amini kwamba.!
Ref:ID yangu
 
Hadi siku wakupige risasi ya mguuni ndio utaleta maneno ya maana.
 
Kwani unafikiri unakujua?
 
Ukiona MACCM wanapiga sana kelele Mbowe aondoke jua anafanya kazi nzuri japo kumkaribisha aliyekatwa mkia na wenzie ilikuwa kosa kubwa sana.

 
You are NOT alone my friend
 
Pendekeza nini kifanyike? Mbowe angelifanya/ afanye nini sasa, leo au kesho with immeadiate effect!
Ebu ondoa takataka zako za mawazo yaliyoonza hapa Jf, Zero brain wewe kid Like Father, Tatizo mlipelekwa shule ili muajiriwe Ndio maana unatoa Povu, Huna analysis yeyote zaidi ya makaratasi ya darasani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…