DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,130
Mbujibuji leo uko chini ya kiwango?? Tunaingelea demokrasia ya nchi Mbowe anatoka wapi hapo?? Je akitoka Mbowe ndo katiba inayoruhusu Uhuru wa kisiasa ikiwa ni pamoja na kuruhusu mikutano ya siasa na maandamano itafuatwa??Kosa la upinzani ni kucheza muziki wa CCM. Leta safu mpya za uongozi, zama za Mbowe zimefika ukomo, upinzani wa Leo ili ukuwe unahitaji mawazo makubwa Na uthubutu mkubwa kuliko alionao Mbowe.
Ni wakati wa wapinzani kuwafikiria umma badala ya matumbo yao
Je Mbowe akiondoka ndo wapinzani hawatanyanyaswa , kutishiwa kuuwawa ama kuuwawa kabisa?? Yaani Uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti CHADEMA ndo hatutaona maiti koko za watuwasiojulikana???
Inapaswa tujue tunachokihitaji je ni maendeleo ama CCM kuendelea kutawala?? Kama ni CCM kuendelea kutawala lawezafanikiwa kwa muda tu ila kama ni maendeleo ya wananchi hakuna kitu hapo!