Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Kunywa sumu, bado ana miaka nane!
Endelea kushikiwa akili na Da Mange, wewe kwenda kufungulia miguu kila mtu leo mambo yamekuwa tight sababu ya ugawaji wako unataka kutafuta wa kumtupia lawama zako?? Pambana na hali yako, umeyachagua mwenyewe hayo maisha. Shule si ulikuwa unagawa tu u***, pambana.
Inasikitisha beberu mwitu kama wewe kumtapikia machicha yako kisa tu kasema hampendi Magufuli...kama unamwambia mwenzio anatanua miguu we unatanua nini au huwa mnakuwa wote?
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Mkuu ajila yako ni mhasibu?
 
Pole!! Kuna kitu naweza semaa!! Kitatimia but naogopa.....
Ref:ID yangu

Toka 2015 mpaka Leo?hicho kitu hakitokei tu?!!kwa kweli jamaa anaboa sana aisee!!!kaifanya TANZANIA Mali yake!!

I miss you Mwl.Julius k.Nyerere!
 
Yaani anamdanganya hadi mke wake kuwa anampenda kumbe jamaa anachukua wake za viongozi na ukionge tu unapelekwa china kuwa barozi pole Dr kairuki

Swissme
 
Wewe na wenzako mnajikumbusha maisha baada ya leo!
Angalieni makalio yenu kwanza kabla ya kuangalia ya wengine.
Watanzania tunamuombea, miaka 8 ataimaliza na kuivusha nchi kwenda ardhi ya ahadi.
Mifisadi lazima ilambe chuma cha moto.
Ndio najikumbusha ndio maana najitahidi nifanye yanayompendeza Mungu kila siku ili nisije ishia kuzimu kma huyo dikteta wenu

Hata kama unamuombea so what!! Jitu lenyewe limevaa hirizi na kuamini ushirikina unafkiri hayo maombi yatakaa pamoja na hirizi???

Kingine kwanni kila anayemkosoa mnamuita fisadi?? Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa muuaji na kupambana na ufisadi!!! Kwahiyo huwezi pambana na mafisadi bila kuua watu wasio na hatia!!

Nyie mtieni moyo tu mobutu yukwapi??
 
Inasikitisha beberu mwitu kama wewe kumtapikia machicha yako kisa tu kasema hampendi Magufuli...kama unamwambia mwenzio anatanua miguu we unatanua nini au huwa mnakuwa wote?
Haki aliyonayo yeye ya kuchukia ndio haki hiyo hiyo niliyonayo mimi ya kusema nilichomwambia, mae aniambie atakacho kuhusu mimi.
 
Namchukia sana Rais John Pombe Magufuli. Sijajua watanzania tulimkosea nini muumba tukapewa adhabu hii nzito kwa miaka hii kumi(kama hataamua kung'ang'ania madarakani)

Ndani ya utawala huu, tunashuhudia nchi ikiendeshwa kwa decrees kutoka ikulu, pasipo tena kuzingatia utawala wa sheria na katiba!!! Katiba imeainisha haki kadhaa ikiwemo haki ya kufanya shughuli za kisiasa , zinazo jumuisha mikutano, maandamano na mambo mengine. Cha ajabu, katika utawala huu, siasa zimepigwa marufuku hadi kipindi cha uchaguzi, na maandamano yana adhabu ya kifo kwa kupigwa risasi, kama wauza madawa ya kulevya nchini China.

Ni utawala ambao mbali na matakwimu ya kupika, maisha ya watanzania wengi yamekua ya dhiki kuu kiuchumi kwa kuvurugwa mifumo na utawala huu wa mhe Rais.

Nakumbuka wakati anaingia madarakani, alisema anatamani watanzania waishi kama mashetani, na naona anatimiza ahadi hii kwa kasi!!!!

Binafsi, namchukia mno Rais Magufuli(naamini kumpenda au kumchukia mtu sio kosa, hivyo sitegemei moderators kufuta Uzi wangu huu)
Mm nachukia hata unavyomwita muheshimiwa
Yapaswa umuite mkubwa wa mashetani
 
Bujibuji MBONA CCM MNANG'ANG'ANIA SANA HOJA YA MBOWE KUKAA PEMBENI? AU MMESHAONA KUWA MBOWE AKIKAA BENCH ITAKUWA RAHS KUMALIZA UPINZAN? NAWASHAURI CDM WAENDELEE KUMKUMBATIA MBOWE MANA WAMEMWONA NI IMARA MNO KULINGANISHA NA WENYEVIT KAMA MREMA, LIPUMBA, CHEYO N.K

CDM MSIPOKEE USHAURI WA CCM, MBOWE AENDELEE KUWA MWENYEKT, MPK CCM WASAGE MENO..
 
Ndio najikumbusha ndio maana najitahidi nifanye yanayompendeza Mungu kila siku ili nisije ishia kuzimu kma huyo dikteta wenu

Hata kama unamuombea so what!! Jitu lenyewe limevaa hirizi na kuamini ushirikina unafkiri hayo maombi yatakaa pamoja na hirizi???

Kingine kwanni kila anayemkosoa mnamuita fisadi?? Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa muuaji na kupambana na ufisadi!!! Kwahiyo huwezi pambana na mafisadi bila kuua watu wasio na hatia!!

Nyie mtieni moyo tu mobutu yukwapi??
Nasema hivi, bado ana miaka 8. Hamkubali hili nendeni nchi jirani, mrudi 2025 ila mtamkuta Makonda kama waziri wa mambo ya ndani, fujo mziache huko huko.
 
Hehehe eti umchukie Magufuli kisa mikutano si useme tu ulikuwa teja biashara kaimaliza katika uchunguzi wangu watu wanaoongoza kumchukia Magufuli hasa vijana ni wale wauza ngada.

Takwimu zinaonesha ngada iliajiri zaidi ya watu elfu 20 Tanzania tu ambao walikua wanakula bata Ile mbaya sasa hivi hata mavi ya bata hawayaoni. Sasa utampendaje? Haya mambo ya siasa sijui mikutano ni kachumbari tu ila kiini cha chuki ni tofauti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom