Ofisi ipi hiyo ya umma unayoisema ?by the wayKwa kweli ofisi za umma zinatia huruma kabisa.ofisi inakosa mpaka karatasi za photokopi,hotuba na taarifa zinaandikwa kwa mkono
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida. Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa? Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi. Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!

huo ndo ubanaji wenyewe wa matumizi kama ulikua haujuiKwa kweli ofisi za umma zinatia huruma kabisa.ofisi inakosa mpaka karatasi za photokopi,hotuba na taarifa zinaandikwa kwa mkono
Unaposema "anatupeleka wapi" ili kukujibu lazima ueleze kuwa ana/metutoa wapi. Wapi tulikuwa ndo tujue wapi tunaenda badala ya kuzungusha mikono.Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida. Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa? Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi. Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Watanzania tuna akili fupi sana ndo maana hatusonge mbele kama taifa na mtu mmoja mmoja, maada ni nzuri inawweza kutusaidia kuibua njia mpya za kumsaidia rais kama ushauri, mtoa mada hana nia mbaya na rais bali anajaribu kutushirikisha tuangalie mwelekeo wa sisi kama taifa, kwa hiyo tuache kumkebehi tuchangie mada kwa mtazamo chanya kwa kutoa michango na ushauri wa kujenga taifa.
Tunakoelekea ni kazi tu.
Tulipoanzia ni kutumbua wafanyakazi hewa na kutengeneza afya bora kwa wafanyakazi wetu na Elimu bora .
Kwa sasa tuko na kazi ya kukusanya Kodi na kuweka taratibu sahihi wa matumizi sahihi ya Kodi .
Hatuamki asubuhi tukasema tunaenda kwenye viwanda, lazima tujiulize vilivyokuwepo kwa nini vilikufa. Tuna mioundombinu ya uhakika? tuna umeme? tuna malighafi? Leo tunalizwa na sukari, tumejiuliza kwa nini hatuwezi kuzalisha sukari ya kutosheleza mahitaji?Hata sisi hatumkebehi mtoa mada bali tunataka mpa mawazo ili atafakari yuko wapi kwanza ndipo aone/jue atapelekwa wapi.
Hata kama unajua pa kupelekwa but ikiwa njia utakayoitumia ina misumari na makorongo, je hiyo itakusaidia kufika unapotaka kwenda?
Suala ni uvumilivu na kujituma huku tukimuunga mkono dereva na kumpa moyo ili aweze kutuvusha salama ukichukulia njia ni mbovu na yenye hatari nyingi.
By the way, sera ya nchi ya viwanda yeye haioni kuwa ni mojawapo ya dira ya Taifa?
Sema we jamaa unaongeaga pumba sijawai ona..hivi si uwe unakaa kimya tu kuficha u tabla laza wako?Ofisi ipi hiyo ya umma unayoisema ?by the way
Ofisi za Chadema mikoani zina karatasi?
Ahadi ni kitu kingine na utekelezaji ni kitu kingine kwaani akina JK walivyo tuahidi je waltekeleza?Kuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome....
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia.
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa....
HAYA ZUNGUSHAA ZUNGUSHAAA TENAA ZUNGUSHA MIKONOOO....MABADILIKOOOO!!!
Mkakati gani unaonyesha tunaenda huko?Anatupeleka kwenye uchumi wa gesi.
Mwl Nyerere aliwahi kusema "hatuwezi kuwa na rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli hatujui kesho atafukuzwa na nani au ziara ya rais au waziri mkuu itakuwa wapi. Hatujui kama tutaamka tunafagia barabara au tutaingia ofisini kwetu kama kawaida. Hatujui tunaanza na nini, kujenga viwanda au kuboresha miundombinu na kuimarisha kilimo ili tupate malighafi.
Ukimuangalia usoni na ukasikia anachotamka unakiri ana nia kabisa ya kututoa hapa. Swali ni je? anajua jinsi ya kututoa? Anajua anakotupeleka? Nimejitahidi kuangalia bunge ili nione labda mawaziri wake wanaweza kuonyesha mwelekeo, huko nikachanganyikiwa zaidi. Mwanamtandao mmoja alisema unaweza kuwa na dereva mzuri anayefuata sheria zote za barabarani lakini hajui anaenda wapi!
Magufuli atafanya yaliyoko kwenye ilani na atapimwa kwa ilani ya CCM iliyopendwa na wapiga kura wengi....waliokosa muelekeo ni wale walioahidi kwenda kuchunga ng'ombe mara wakaahidi kwenda ICC na mara waahidi kuzunguka nchi na blah blah kibao.Ahadi ni kitu kingine na utekelezaji ni kitu kingine kwaani akina JK walivyo tuahidi je waltekeleza?