Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Urais ni mtamu asikwambie mtu. !! Simuoni mwafrica wa kuweza kujiuzulu na hasa unapokuwa na wapambe wahafidhina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshikwa pabaya! ! Mbowe dictator ndani ya chama chake hawamuoni kumwambia ajiuzulu wanamtaka raisi wetu kipenzi mpenda haki eti ajiuzulu. Kweli binadamu mwenye tamaa ni mfitiniWewe ni fisadi nini? Nashauri Mbowe ndio apumzike...
Sasa je siku hiyo mapolisi watazunguka mitaani au watatulia kwa vile watz ni waoga kama usemavyo?Ili ujue watanzania ni watu wa kulalamika kwenye keyboards na kuhamasishana kinafki utakuja kuona hiyo tar ya maandamano hamna hata utamwona mtaani