Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Urais ni mtamu asikwambie mtu. !! Simuoni mwafrica wa kuweza kujiuzulu na hasa unapokuwa na wapambe wahafidhina
 
Anazungukwaje wakati alisema kuwa ikibidi Sheria itavunjwa.
 
Pendekezo lako ni hatari zaidi ya tulivyo sasa, nchi changa hii haijawahi hata kupokezana uongozi nje ya box
 
Mimba kama hii iliyopelekea wewe kuzaliwa ndiyo Sababu China wanaruhusu abortion.
 
Ni rahisi zaidi kwa tembo kupita kwenye tundu la sindano kuliko......
 
Ushaur ni mzur mno na sikutaraji MTU kuandika hivi, lkn nikaangalia muda uliopost nikagundua umesikia mengi kwenye ziara ya magu singida ambayo hakika umetafakari yote uliyoandika.
Big up
 
Tumuombe atupishe, atuachie nchi yetu au Tumuombe Atusaidie katika hili
 
Wewe ni fisadi nini? Nashauri Mbowe ndio apumzike...
Wameshikwa pabaya! ! Mbowe dictator ndani ya chama chake hawamuoni kumwambia ajiuzulu wanamtaka raisi wetu kipenzi mpenda haki eti ajiuzulu. Kweli binadamu mwenye tamaa ni mfitini
 
Haya mambo yalianza kama rashasha hayawi hayawi sasa yamekua siku zinasonga,


Ni matokeo mengi mnoo tumeona,,,,
Watu kubomolewa nyumba

Mauaji



Miili kuokotwa ovyo



Uonevu



Kesi za kubambikiziwa



Ukandamizaji wa demokrasia




Wanasiasa kumiminiwa risasi




Utekaji usiokwisha





Watu wasiojulikana




Ubaguzi na ukanda





Uchaguzi usio huru



Hakika mungu ni mwema mnooo faraja inakuja the freedom is coming tommorow

,

Naandika huku machozi yanitoka no no we can do something



Tunaweza! yeah hakika nguvu ya umma ni zaidi ya makombora ya balistic au makombora ya atomic




Faraja na ukombozi unakuja ndugu hali ni mbaya uchumi umeuawawa, katiba inanajisiwa, hakuna ajira, uchumi umeporomoka mpaka huruma


,

This is too much hayo yote hayavumiliki


Asante mungu kwa hii fikra na mawazo ya kimabadiliko na kifikra ya watanzania


Nashukuru mungu watanzania wameamka na kumuona adui yao



The freedom is coming tommorow time will tell
,


Futeni machozi mshukuruni mungu ukombozi unakuja mungu hamtupi mja wake na hatotutupa watanzania
 
Ili ujue watanzania ni watu wa kulalamika kwenye keyboards na kuhamasishana kinafki utakuja kuona hiyo tar ya maandamano hamna hata utamwona mtaani
 
Ili ujue watanzania ni watu wa kulalamika kwenye keyboards na kuhamasishana kinafki utakuja kuona hiyo tar ya maandamano hamna hata utamwona mtaani
Sasa je siku hiyo mapolisi watazunguka mitaani au watatulia kwa vile watz ni waoga kama usemavyo?
 
Ili ujue watanzania ni watu wa kulalamika kwenye keyboards na kuhamasishana kinafki utakuja kuona hiyo tar ya maandamano hamna hata utamwona mtaani
Sasa je siku hiyo mapolisi watazunguka mitaani au watatulia kwa vile watz ni waoga kama usemavyo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…