Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Acha liporomoke, tutaugulia vilio kutokana na vifo, na kuuguza majeruhi
 
Dereva kalewa madaraka! Sawa hiyooo!!! Haaata hiyo si sawa dereva wacha vituko!!!
 
Dalili zote zinaonyesha hali ya mambo iko mahututi sana mabenki yanafungwa, watumishi wameshakubali yaishe wanafanya kazi ilimradi wapo kituoni, biashara hali mbaya sana kuliko wakati wowote katika nchi hii, vifaa vya ujenzi bei imependa maradufu bati sasa ivi elfu kumi na tisa, misumari ya bati kilo ni tsh. elfu nane, mfuko wa cement ni tsh. elfu kumi na tano

Kwa kweli sijui tunaenda wapi hela inapokuwa ngumu basi mfumuko wa bei uwe unashuka cha kushangaza unapanda sana. Hali ya mambo sio shwari kabisa dereva huyu analipeleka gari korongoni.
Hili gari nyuma limeandikwa Piiipoooooooooooz...
 
Hii gari mwenendo wake sio, sasa huyu dereva sijui kanywa viroba?
 
Hata sielewi huwa mnamaanisha nini mnapoongelea "kuliko wakati mwingine wowote" wakati una miaka 20 duniani,siyo mtafiti kwa njia yoyote ile ya kujisomea au kusikiliza!!!
Watoto wa siku hizi mtakufa mapema sana...hamkufunzwa kuyapisha maji yakija na nguvu?basi yatakupitieni tu,yawatupe korongoni.
 
Dalili zote zinaonyesha hali ya mambo iko mahututi sana mabenki yanafungwa, watumishi wameshakubali yaishe wanafanya kazi ilimradi wapo kituoni, biashara hali mbaya sana kuliko wakati wowote katika nchi hii, vifaa vya ujenzi bei imependa maradufu bati sasa ivi elfu kumi na tisa, misumari ya bati kilo ni tsh. elfu nane, mfuko wa cement ni tsh. elfu kumi na tano

Kwa kweli sijui tunaenda wapi hela inapokuwa ngumu basi mfumuko wa bei uwe unashuka cha kushangaza unapanda sana. Hali ya mambo sio shwari kabisa dereva huyu analipeleka gari korongoni.
Nimeenda benki juzi,Hii benki ilikuwa hadi kero sikuz a nyuma kwani wateja walikuwa wakijazana sana,juzi limekwenda kwenye hiyo benki mteja ni mimi peke yangu,hatari😀😀
 
Watanzania lini mtatulia muwazie mema kwa serikali na viongozi wake? Imezidi na imetosha, tulieni fanyeni mambo mengine. Hii kosoakosoa haitupeleki popote
 
Dalili zote zinaonyesha hali ya mambo iko mahututi sana mabenki yanafungwa, watumishi wameshakubali yaishe wanafanya kazi ilimradi wapo kituoni, biashara hali mbaya sana kuliko wakati wowote katika nchi hii, vifaa vya ujenzi bei imependa maradufu bati sasa ivi elfu kumi na tisa, misumari ya bati kilo ni tsh. elfu nane, mfuko wa cement ni tsh. elfu kumi na tano

Kwa kweli sijui tunaenda wapi hela inapokuwa ngumu basi mfumuko wa bei uwe unashuka cha kushangaza unapanda sana. Hali ya mambo sio shwari kabisa dereva huyu analipeleka gari korongoni.
Waacheni waandamane eeeh, ccm mbele kwa mbeleeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom