Minasubiri lipunguze speed niruke.We nae si uruke?
Hili gari nyuma limeandikwa Piiipoooooooooooz...Dalili zote zinaonyesha hali ya mambo iko mahututi sana mabenki yanafungwa, watumishi wameshakubali yaishe wanafanya kazi ilimradi wapo kituoni, biashara hali mbaya sana kuliko wakati wowote katika nchi hii, vifaa vya ujenzi bei imependa maradufu bati sasa ivi elfu kumi na tisa, misumari ya bati kilo ni tsh. elfu nane, mfuko wa cement ni tsh. elfu kumi na tano
Kwa kweli sijui tunaenda wapi hela inapokuwa ngumu basi mfumuko wa bei uwe unashuka cha kushangaza unapanda sana. Hali ya mambo sio shwari kabisa dereva huyu analipeleka gari korongoni.
Nimeenda benki juzi,Hii benki ilikuwa hadi kero sikuz a nyuma kwani wateja walikuwa wakijazana sana,juzi limekwenda kwenye hiyo benki mteja ni mimi peke yangu,hatari😀😀Dalili zote zinaonyesha hali ya mambo iko mahututi sana mabenki yanafungwa, watumishi wameshakubali yaishe wanafanya kazi ilimradi wapo kituoni, biashara hali mbaya sana kuliko wakati wowote katika nchi hii, vifaa vya ujenzi bei imependa maradufu bati sasa ivi elfu kumi na tisa, misumari ya bati kilo ni tsh. elfu nane, mfuko wa cement ni tsh. elfu kumi na tano
Kwa kweli sijui tunaenda wapi hela inapokuwa ngumu basi mfumuko wa bei uwe unashuka cha kushangaza unapanda sana. Hali ya mambo sio shwari kabisa dereva huyu analipeleka gari korongoni.
We mengine uliyoyafanya ni yapi?Watanzania lini mtatulia muwazie mema kwa serikali na viongozi wake? Imezidi na imetosha, tulieni fanyeni mambo mengine. Hii kosoakosoa haitupeleki popote
Waacheni waandamane eeeh, ccm mbele kwa mbeleeeeDalili zote zinaonyesha hali ya mambo iko mahututi sana mabenki yanafungwa, watumishi wameshakubali yaishe wanafanya kazi ilimradi wapo kituoni, biashara hali mbaya sana kuliko wakati wowote katika nchi hii, vifaa vya ujenzi bei imependa maradufu bati sasa ivi elfu kumi na tisa, misumari ya bati kilo ni tsh. elfu nane, mfuko wa cement ni tsh. elfu kumi na tano
Kwa kweli sijui tunaenda wapi hela inapokuwa ngumu basi mfumuko wa bei uwe unashuka cha kushangaza unapanda sana. Hali ya mambo sio shwari kabisa dereva huyu analipeleka gari korongoni.