Elevat Kapela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2017
- 631
- 1,837
hahahaaaaa unatia kinyaaa aisee kuna uongozi na utaeala mbovu na wa hovyo kama. huuu?? na ndio maana nguvu kubwa inatumika kuficha usheni usijulikane hakuna lamaana pesa zina chezewa sana awamu kuliko awamu zoote na kama ni ufisadi sasa ndio ynafanyika hasa na tuna lijua hilo ndio maana kivuko kikakimbiziwa jeshini, hapo sijataka kundelea na bombadia na dreamliner na mambo kibao. pesa za uma zina tapanywa na famialiaNadhani wewe utakuwa mtoto,shemeji,mjukuu,rafiki wa karibu wa Vasco,au mtu uliyefaidika na utendaji wa hovyo wa awamu za tatu na nne kwa hiyo itakuwa vigumu kuingiza substance kichwani mwako.In short wewe ulikuwa sehemu ya tatizo,kwa hiyo comments zako sizishangai.
Siku hizi ukiwa na power hiyo elimu kubwa utaipata lakini zamani lazima uisotee na uipate ki halali kwa jasho lako.Hekima ni kitu cha muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. kama hauna hekima hakika utaonekana mtu wa ajabu sana mbele za watu. haijalishi kiwango cha elimu ulichonacho. Ingawa zamani nilijua ukiwa na elimu kubwa vivyo hivyo hekima inazidi kuongezeka kumbe nilikuwa najidanganya.
sifa ya mpumbavu ni kuamini kwamba kuhoji ni kosa kumbe tatizo ni ujinga alio kalilishwa kichwani. nina haki ya kuhoji. lolote ikiwa mimi ni mtanzania na kodi yangu ninayo banwa mbavu huku mtaani na TRA ikitumika kuhonga wana siasa ili kulinda maslahi ya mtu mmoja asiye na uzalendo wa taifa pamoja na kundi lake wanao jijali wenyewe na yale yampendezayo na kumfurahisha mtu mmoja na kundi lakr huku wajinga kama wewe mkiunga mkono juhudiSifa ya mpimbavu ni kujudge kila kitu in a negative perspection na kufikiri ana ufahamu wa mambo kuliko wengine
Kwa bahati mbaya zaidi hauko peke yako unayeomba huruma. Mtasubiri huruma may be sometimes after 2025
Sent using Jamii Forums mobile app
wajinga wengi wa aina yako huamini katika vita ya kupambana na upinzani lakini wenye akili huamini katika vita ya kupambana na matatizo ya wanao waongozaJk akienda leo chadema akaomba kugombea urais kisha katiba ikawa inaruhusu, chadema watampa nafasi hiyo kwa mikono yote na miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe juha wewe tambua unaongea na watu walio kuzidi akili na maarifa x1000000000. usidhani wote wajinga kama nyie kikwete sio wa kuongelewa maneno na wala sio mtu wa kulishwa maneno, kikwete anajieleza mwenye kwa sura na maneno huo uongo na utapeli wapeleekenu nanjilinji huko ambao ndio mliko jiwekea stock ya wajinga wakuwapa kanga na kofiaKwa taarifa yako Kikwete mwenyewe anauelewa sana huu uongozi kwakuwa hata yeye hakuwa anafurahishwa na namna mambo yalivyokuwa yanafanywa na wasaidizi wake.Take note!
Sent using Jamii Forums mobile app
acha uwongo hakuna mtu aliyemtaka"... wataka kuniammbia watanzania walimtaka kiongozi anayeiminya democracy" anayebariki mauaji(lisu)" na kupoteza watu kama ilivyo kwa ben saa8 na azory
ni dhahiri kabisa wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ujinga unao fanywa. na serikali upo bayana hata mtoto wa chekechea anauona bila shaka au mnadhani bado tupo zama za kale za mawe? hadi watoto wana chekechea wanajua kuwa mkurugenzi korogwe alijificha ili asipokee fomu ya upinzani na akafunga na ofisi kabisa au utasema alibanwa tumbo ya kuharishaa!! hahahaaaa.Ndio shida ya wanafunzi wa sua ya dodoma..mnapokea tu mapokeo ya maneno ya wengine..yaani mwenzio akisema kichwa kinauma na wewe unasema nasikia maumivu ya kichwa..umeambiwa fafanua na ili iwe bora unatakaje..unaanza ooh asubui ya leo umekunya mavi sana..sijui umechambia majani..yote ya nini sasa?
Angalau katika awamu hii tunaona vitu vikifanyika,hivi mpigaji angefanya mambo JPM anayofanya,kama sio chuki binafsi na husuda ni nini.Anyway,he is your president,there is nothing you can do,at least for now,wewe ulie tu.hahahaaaaa unatia kinyaaa aisee kuna uongozi na utaeala mbovu na wa hovyo kama. huuu?? na ndio maana nguvu kubwa inatumika kuficha usheni usijulikane hakuna lamaana pesa zina chezewa sana awamu kuliko awamu zoote na kama ni ufisadi sasa ndio ynafanyika hasa na tuna lijua hilo ndio maana kivuko kikakimbiziwa jeshini, hapo sijataka kundelea na bombadia na dreamliner na mambo kibao. pesa za uma zina tapanywa na famialia
budget ya nchi ipo kichwani kwa mtu 1 sio bunge tena. aisee watafuteni wale wajinga mnao wapa kofia na t-shirt mashambani huko muendelee kuwaimbia nyimbo zenu za ulaghai sie tuna wajua ndani nje na wizi wenu kwa mgongo wa vyombo vya dola
Hao ndio watu wa GPA ya 32Nadhani wewe utakuwa mtoto,shemeji,mjukuu,rafiki wa karibu wa Vasco,au mtu uliyefaidika na utendaji wa hovyo wa awamu za tatu na nne kwa hiyo itakuwa vigumu kuingiza substance kichwani mwako.In short wewe ulikuwa sehemu ya tatizo,kwa hiyo comments zako sizishangai.
Aisee wewe ni kichwa maji hasa!wajinga wengi wa aina yako huamini katika vita ya kupambana na upinzani lakini wenye akili huamini katika vita ya kupambana na matatizo ya wanao waongoza
hahahaaa. laaaaan hiii wanafunzi wanasomea darasa moja zaid ya watoto130, watumishi wauma maskini mwaka watatu sasa haki yao kisheria imekiukwa, maji yenyewe shida hakuna maji maeneo mengi ya nchi lakin huku anaye jiita mzalendo akihonga mabilion kwa wana siasa ili waunge mkono juhudi
na wakati huo hata ukienda zahanati sahizi bomba la sindano unaambiwa kanunue nje. halafu huku uchaguzi kila. siku ili bwana yule afurahie kuungwa mkono na makada wanashangilia kwa vifijo laah! hivi nyie makada hizi akili zenu zipo kwenye mtako!?
Kupiga marufuku, mlie tu,atakayepiga cha moto atakiona.ni dhahiri kabisa wewe una upeo mdogo sana wa kufikiri ujinga unao fanywa. na serikali upo bayana hata mtoto wa chekechea anauona bila shaka au mnadhani bado tupo zama za kale za mawe?