Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Things went astray since the disintegration of mtandao of boys to men when Lowassa was forced to resign. Union of people with hidden agenda could not survive . They parted and here we are. Whom should we blame. Probably we are returning on the right track. Doubtful?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko ni kuchanganyikiwa
huwajui ccm vizuri,na hili ni tatizo kuu la upinzani,kutaka huruma au msaada toka toka ccm!
ccm inajulikana kwa wizi na utapeli ndio maana haijawahi shinda uchaguzi kwa haki. ccm ndicho chana kikuu kinacho ratibu mauaji, utekaji, rushwa na kila aina ya uovu nchi hii

tunawajua ccm ni watu wanao amini katika uchama zaid kuliko utaifa, ni watu wana jali maslahi binafsi kuliko maslahi ya taifa

tunawajua ccm ndicho chama kinacho pigana kwa hali na mali kuharibu elimu, uchumi, na mifumo yote itakayo mfanya mtanzania aelimike

ccm ndicho chama kina zidi kulitia taifa gizani na kuzuia maendeleo yakweli

ccm ndicho chama pekee kina amini kuwa uongo na ulaghai ndio njia sahihi ya kuongoza

TUNAWAJUA CCM KUWA HAWAWEZI SIASA SAFI TEGEMEO KUU LA CCM NI JESHI LA POLISI NA TUME YA UCHAGUZI

kifupi CCM ipo madarakani hadi sasa kwa mbeleko ya JESHI LA POLISI na TUME YA UCHAGUZI.

HIVYO NDIVYO TUIJUAVYO CCM. NA WANACHAMA WAKE je? kuna lingine?
 
Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka ufisadi,kutengeneza vyeti bookshop,uonevu wa wananchi,shida ya umeme,shida ya maji,uzembe kazini nk.nk.nk.viendelee?Yaani unatamani chupa badala ya dhahabu! Kama zuzu vile.
 
Taifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaka jua anatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tumshukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka yake 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democracy ni jambo adimu na adhimu na inafurahisha nafsi ya MTU anayejithamini. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tulipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuelewa, wengi wao ni'vibajaji' na wavivu kifikra.
 
na ukiona mtu hadi sasa anataka afafanuliwe eti hali ngumu ilivyo kwa tanzania yaani hajui eti kama hali ni ngumu ama laaa! hakika mtu hiyo hana manufaa yeyote kwenye taifa hili ni sawa na kinyesi ingawa hata kinyesi kina faida kwa mimea nadhan ni zaid ya kinyesi.
Ndio shida ya wanafunzi wa sua ya dodoma..mnapokea tu mapokeo ya maneno ya wengine..yaani mwenzio akisema kichwa kinauma na wewe unasema nasikia maumivu ya kichwa..umeambiwa fafanua na ili iwe bora unatakaje..unaanza ooh asubui ya leo umekunya mavi sana..sijui umechambia majani..yote ya nini sasa?
 
Kwa hiyo unataka ufisadi,kutengeneza vyeti bookshop,uonevu wa wananchi,shida ya umeme,shida ya maji,uzembe kazini nk.nk.nk.viendelee?Yaani unatamani chupa badala ya dhahabu! Kama zuzu vile.
wewe kibaraka tambua unaongea na watu ambao nao wana uwezo na ujuzi mzuri x 1000000 yako na hao wajinga wenzio wa CCM. unadhani ni nyie pekee ndio mnao jua mahitaji ya watanzania? hakuna mjinga leo hii eakumshika kwa hoja za kuchonga kama zako uzembe kazin unaoongelea wewe upi ukiwa pamoja na uzembe huo unao sema wewe nchi ilisonga mbele tena kwa hatua za wazi na zilizo onekana sio hizi za kuunga mkono juhudi wakati hakuna.

hayo maji unayo sema kwani tatizo limeisha? maji ni shida kila kona hayo ya RUVU. ni kikwete si huyo msanii

na miradi ya maji yote iliyopo aliiacha kikwete kipi kafanya huyo msanii wenu zaid ya kutumia pesa za kodi kununua wapizani kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo?

mabilioni yanagharimia uchaguzi wa hiyari na kijinga kabisa wakati hadi sasa ukienda zahanati hata bomba la sindano unaenda kununua nje ya kituo?

hao wananchi unao dai walionrwa kwani leo hawaonewi? tena kwa sasa ndio wanauawa kabisa tena kinyama kabisa bila huruma.

hakuna medeleo kila kitu ghali na vinapanda kila siku uchumi unakua kwenye midomo ya wasaka tonge. wananchi wako taabani halafu mnaleta hoja zenu za uongo uongo mkizani wananchi nao ni wajinga na wapumbavu kama wana CCM
 
Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki wew.. Kikwete mlimtukana sana hapa.. Leo hii project zilizooneka ndoto znafanyika... Watu mlilalama tunazidiwa na rwanda ina shirika la ndege sisi inchi kubwa hatuna... Yaan wanadamu nyie hamliziki kabisa... Kazi kulalamika tu.. Hiyo ni tabia ya ushetani kulalamika.
 
kiroho safi .... wacha tupigike ... ccm mbele kwa mbele and visa-versa
 
Jana alipokuwa anaongea kwa hudhuni nilimshangaa sana...

Nikasema kumbe na yeye anaumia...

Anaumia nini.... Analia nini..

Nikaishia tu kukumbuka Lissu... Saanane .... Azory..

Shabashhh..
 
wewe kibaraka tambua unaongea na watu ambao nao wana uwezo na ujuzi mzuri x 1000000 yako na hao wajinga wenzio wa CCM. unadhani ni nyie pekee ndio mnao jua mahitaji ya watanzania? hakuna mjinga leo hii eakumshika kwa hoja za kuchonga kama zako uzembe kazin unaoongelea wewe upi ukiwa pamoja na uzembe huo unao sema wewe nchi ilisonga mbele tena kwa hatu za wazi?

hayo maji unayo sema kwani tatizo limeisha? na miradi ya maji yoite iliyopo aliiacha kikwete kipi kafanya huyo msanii wenu zaid ya kutumia pesa kununua wapizani kwa gharama kubwa na kuwahonga vyeo?

mabilioni yanagharimia uchaguzi wa hiyari kabisa wakati hadi sada ukienda zahanati hata bomba la sindano unaenda kununua nje ya kituo?

hao wananchi unao dai walionrwa kwani leo hawaonewi? tena kwa sasa ndio wanauawa kabisa tena kinyama kabisa bila huruma.

hakuna medeleo kila kitu ghali na vinapanda kila siku uchumi unakua kwenye midomo ya wasaka tonge. wananchi wako taabani halafu mnaleta hoja zenu za uongo uongo mkizani wananchi nao ni wajinga na wapumbavu kama wana CCM
Nadhani wewe utakuwa mtoto,shemeji,mjukuu,rafiki wa karibu wa Vasco,au mtu uliyefaidika na utendaji wa hovyo wa awamu za tatu na nne kwa hiyo itakuwa vigumu kuingiza substance kichwani mwako.In short wewe ulikuwa sehemu ya tatizo,kwa hiyo comments zako sizishangai.
 
ccm inajulikana kwa wizi na utapeli ndio maana haijawahi shinda uchaguzi kwa haki. ccm ndicho chana kikuu kinacho ratibu mauaji, utekaji, rushwa na kila aina ya uovu nchi hii

tunawajua ccm ni watu wanao amini katika uchama zaid kuliko utaifa, ni watu wana jali maslahi binafsi kuliko maslahi ya taifa

tunawajua ccm ndicho chama kinacho pigana kwa hali na mali kuharibu elimu, uchumi, na mifumo yote itakayo mfanya mtanzania aelimike

ccm ndicho chama kina zidi kulitia taifa gizani na kuzuia maendeleo yakweli

ccm ndicho chama pekee kina amini kuwa uongo na ulaghai ndio njia sahihi ya kuongoza

TUNAWAJUA CCM KUWA HAWAWEZI SIASA SAFI TEGEMEO KUU LA CCM NI JESHI LA POLISI NA TUME YA UCHAGUZI

kifupi CCM ipo madarakani hadi sasa kwa mbeleko ya JESHI LA POLISI na TUME YA UCHAGUZI.

HIVYO NDIVYO TUIJUAVYO CCM. NA WANACHAMA WAKE je? kuna lingine?
Umeongea kwa hisia kubwa sana. My prayer: GOD if you really love your people come and heal them.
 
Ni wazi kuwa CCM katika hali iliyo nayo sasa inatumia nguvu nying sana kupambana na upinzani. Hii nguvu ingewekezwa katika kupambana na shida zetu naamini Upinzani ungekufa natural death.

Lakini hali hii ya sasa unakaza misuli ya wapinzani halisi. Wananchi wenye akili wanapoteza imani kwa chama wanapoona kina hangaika kununua na kurubuni wapinzan. Picha inayojengeka sasa ni kuwa CCM haina watu wa kufaa isipokuwa waliopo Upinzani. Ndo maana wanapojiunga na CCM hao hao wanarudishwa Ubunge na Udiwani sababu CCM haina watu wa kufaa.

Hii nguvu ingeelekezwa katika kutatua matatiz ya msingi ya watanzania kusingekuwa na haja ya kutumia pesa hizi nyingi za maskini walipa kodi kihasara hivi.

Watu wenyewe wangesema mbona CCM inatosha?kwa nini tuchague upinzani?lakin kwa hali hii. Kila mwenye kutaka cheo itabidi akimbilie CCM akapate ujira wake.na walio CCM wataunga mkia nyuma yake.
 
Wanasiasa na siasa zao, Wenye nchi na nchi yao, Wazalendo na taifa letu.

Fumbua fumbo hili.
 
Sifa ya mtu mwenye akili timamu sio malumbano,fanya kazi usitafute huruma kwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
na sifa ya mtu mpumbavu yeye hutatua tatizo na wala hajui kushughulika na chanzo cha tatizo ili tatizo hilo lisijirudie tena na hao ndio wengi zaid na dhani na wewr ni moja wapo ndio maana umeandika hicho ulicho andika hujui kwamba si wote wanafanya kazi kama yako wengine kazi yao ni siasa na wanaishi kwa siasa. na bosi wako ndio keshakuwa mfalme juha hataki watu wafanye siasa asizo taka yeye hata kama kikatiba ni ruksa huoni hapo kazi hazifanyiki?? au we upeo wako upo vipi? au ndio wale vilaza wa SUA. ya 32GPA
 
Ni linii Tz itakuwa kama Marekani ambapo vyama viwili vinalumbana kwa njia ya hoja kuhusu namna nzuri ya kumkomboa mwananchi wa chini?

Nadhani Nyerere aliporuhusu vyama vingi mwaka 1992 alifahamu faida ya uwepo vya vyama vingi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom