ccm inajulikana kwa wizi na utapeli ndio maana haijawahi shinda uchaguzi kwa haki. ccm ndicho chana kikuu kinacho ratibu mauaji, utekaji, rushwa na kila aina ya uovu nchi hii
tunawajua ccm ni watu wanao amini katika uchama zaid kuliko utaifa, ni watu wana jali maslahi binafsi kuliko maslahi ya taifa
tunawajua ccm ndicho chama kinacho pigana kwa hali na mali kuharibu elimu, uchumi, na mifumo yote itakayo mfanya mtanzania aelimike
ccm ndicho chama kina zidi kulitia taifa gizani na kuzuia maendeleo yakweli
ccm ndicho chama pekee kina amini kuwa uongo na ulaghai ndio njia sahihi ya kuongoza
TUNAWAJUA CCM KUWA HAWAWEZI SIASA SAFI TEGEMEO KUU LA CCM NI JESHI LA POLISI NA TUME YA UCHAGUZI
kifupi CCM ipo madarakani hadi sasa kwa mbeleko ya JESHI LA POLISI na TUME YA UCHAGUZI.
HIVYO NDIVYO TUIJUAVYO CCM. NA WANACHAMA WAKE je? kuna lingine?