Sifa ya taahira ni kutohoji na kuchukulia kila kitu poa kwa vile tu tumbo lake linashiba na kuhara...Sifa ya mpimbavu ni kujudge kila kitu in a negative perspection na kufikiri ana ufahamu wa mambo kuliko wengine
Kwa bahati mbaya zaidi hauko peke yako unayeomba huruma. Mtasubiri huruma may be sometimes after 2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliokisoma kile kitabu cha ALFU LELA ULELA na KISA CHA MVUVI NA JINI, watanielewa.Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua neno " MILD..." kwa mukhtadha wa hali iliyopo sasa...Taifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaka jua anatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tumshukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka yake 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democracy ni jambo adimu na adhimu na inafurahisha nafsi ya MTU anayejithamini. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tulipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hachukiwi kwa kuleta maendeleo, Bali anachukiwa kwa matendo yake maovu ya kuto jali haki za binadam na kuheshim democracy na kufuata sheria na katiba no moreAcha unafiki wew.. Kikwete mlimtukana sana hapa.. Leo hii project zilizooneka ndoto znafanyika... Watu mlilalama tunazidiwa na rwanda ina shirika la ndege sisi inchi kubwa hatuna... Yaan wanadamu nyie hamliziki kabisa... Kazi kulalamika tu.. Hiyo ni tabia ya ushetani kulalamika.
Unataka ulaini wa maisha ee..?ndio maana idadi ya wanaume inazidi kupungua hapo dsm..ukitaka maisha laini utapewa tu..ila uwe tayari kuachia kisogoHapana wala usimlaumu sana huyo jamaa coz anaishi kwa Dada yake na shemeji yake amesafiri kidogo hivyo yeye hajui ugumu wa maisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
We humjui shetani dogo.... Shetani ana nguvu sana na halalamikagi, anatenda. Kulalamika ni hulka ya kiumbe yeyote dhaifu, wewe na mimi tukiwemo.....Acha unafiki wew.. Kikwete mlimtukana sana hapa.. Leo hii project zilizooneka ndoto znafanyika... Watu mlilalama tunazidiwa na rwanda ina shirika la ndege sisi inchi kubwa hatuna... Yaan wanadamu nyie hamliziki kabisa... Kazi kulalamika tu.. Hiyo ni tabia ya ushetani kulalamika.
Usibishane na CCM, hao wanaweza kukuhakikishia kuwa ni usiku wakati jua linawaka nje
mkuu, hukujibu moja kwa moja hoja ya mtoa mada. yeye hajasema udukteta bali kwa kauli yake anakwenda mbio anakojua yeye na kuwa hali si nzuri!Taifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaka jua anatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tumshukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka yake 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democracy ni jambo adimu na adhimu na inafurahisha nafsi ya MTU anayejithamini. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tulipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa sumu ufe utakuwa umejiokoa na shida za duniani hapaBila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
"......Nyapara wa barabara......"ametuachia waziri wa ujenzi....
Dio mnaipenda, sema unaipenda!!Wananchi ndio kwanza tunaipenda hiyo ccm. We baki na kelele zako huku watu wanajitambua. Kura ya nini huku kesho unarudi na kumuunga mkono uliye mkataa??
Acha kelele kwenye keyboard ingia ulingoni basi kama yule Wine wa majirani zetu tukusikie