Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Sifa ya mpimbavu ni kujudge kila kitu in a negative perspection na kufikiri ana ufahamu wa mambo kuliko wengine

Kwa bahati mbaya zaidi hauko peke yako unayeomba huruma. Mtasubiri huruma may be sometimes after 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa ya taahira ni kutohoji na kuchukulia kila kitu poa kwa vile tu tumbo lake linashiba na kuhara...
 
Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliokisoma kile kitabu cha ALFU LELA ULELA na KISA CHA MVUVI NA JINI, watanielewa.
Jini katoka kwenye chupa, na kuipiga teke chupa ndani ya bahari. Sasa, ni nani wa kulidhibiti hilo jini?
 
Taifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaka jua anatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tumshukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka yake 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democracy ni jambo adimu na adhimu na inafurahisha nafsi ya MTU anayejithamini. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tulipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua neno " MILD..." kwa mukhtadha wa hali iliyopo sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki wew.. Kikwete mlimtukana sana hapa.. Leo hii project zilizooneka ndoto znafanyika... Watu mlilalama tunazidiwa na rwanda ina shirika la ndege sisi inchi kubwa hatuna... Yaan wanadamu nyie hamliziki kabisa... Kazi kulalamika tu.. Hiyo ni tabia ya ushetani kulalamika.
Hachukiwi kwa kuleta maendeleo, Bali anachukiwa kwa matendo yake maovu ya kuto jali haki za binadam na kuheshim democracy na kufuata sheria na katiba no more
 
Acha unafiki wew.. Kikwete mlimtukana sana hapa.. Leo hii project zilizooneka ndoto znafanyika... Watu mlilalama tunazidiwa na rwanda ina shirika la ndege sisi inchi kubwa hatuna... Yaan wanadamu nyie hamliziki kabisa... Kazi kulalamika tu.. Hiyo ni tabia ya ushetani kulalamika.
We humjui shetani dogo.... Shetani ana nguvu sana na halalamikagi, anatenda. Kulalamika ni hulka ya kiumbe yeyote dhaifu, wewe na mimi tukiwemo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa hupata kiongozi aliye stahili yake.. We needed a mild dictator. Na hapa tuseme tumepata kiongozi tuliyemhitaji. Sasa kama ukali umezidi basi tuvumilie , lakini bila unafiki ndiye roho zetu ndiye tuiyemtaka. Binadamu kweli ni kigeugeu likiwaka jua anatamani mvua na ikinyesha mvua anataka jua. Tumshukuru Mungu Mheshimiwa amesema hataongeza hata sekude moja miaka yake 10ikipita MUNGU amlinde atimize ndoto zake. Hivi wachina wanasonga mbele sana wanayo demokrasia . Let us experience the other side of the coin. Siasa za majukwaa tuzipumzike ingawa Democracy ni jambo adimu na adhimu na inafurahisha nafsi ya MTU anayejithamini. Mimi naipenda democracy , lakini kama wengi tulipenda mkali Mimi ni nani niwe kinyume na wengi? Tutafika tu kwa uwezo wa Mungu. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, hukujibu moja kwa moja hoja ya mtoa mada. yeye hajasema udukteta bali kwa kauli yake anakwenda mbio anakojua yeye na kuwa hali si nzuri!
Sasa, je ni kweli anakoenda anajua yeye tu na ni kweli hali sio nzuri? Je, Kikwete ana nafasi ya katika hali hiyo?
Sijajua kama kwenda mbio ndo u mild dictatorship!.
Sijajua mwandishi amelenga nn kusema zaidi hali ni ngumu je. ni demokrasia, uchumi, ajira au nini hasa. pengine ni kupanda kwa bei ya vifaa vya ujenzi kama saruji! figures and facts zinaonyesha inflaation kupungu laabda tusubiri taakwimu za mwisho wa mwezijhhh
 
Bila shaka hata wewe mwenyewe unaona jinsi hali ilivyo mbaya. Mtu uliyemkabidhi kijiti haukumpa uelekeo. Anaenda na mbio zake, anaelekea anakokujua yeye. Hali hii inaogofya sana. Uvumilivu umefika ukingoni. Mhe. rais mstaafu unatusaidiaje? Au tuambie tufanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa sumu ufe utakuwa umejiokoa na shida za duniani hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchapana kuone kwenye video au kwenye magazeti. Live lishudia kilichowapata wana kagera vita ya 1978_79 .lakini pia vita RENAMO .fikiri kwanza
 
People behind keyboard
Screenshot_20180822-114132.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi ndio kwanza tunaipenda hiyo ccm. We baki na kelele zako huku watu wanajitambua. Kura ya nini huku kesho unarudi na kumuunga mkono uliye mkataa??
Acha kelele kwenye keyboard ingia ulingoni basi kama yule Wine wa majirani zetu tukusikie
Dio mnaipenda, sema unaipenda!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitume fanya kazi acha kulalamika unataka maisha mepesi? Subiri baba yako akiwa Rais utaletewa kila kitu nyumbani. Unamuhusisha Rais Kikwete na uvivu wako wa fikra? Wenzio tunaponda kokoto na maisha yanaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom