Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Dada Mange hana hamu na sisi Watanzania. Sisi ni watu wa kwenye keyboards tu.
 
Kijana mbona bado!!!yatakuja makuu zaidi utatamani urudi tumboni mwa mama.Ila hii uwazayo sio njia sahihi.Upo wakati wa Mungu kuingilia kati maovu na uonevu unapozidi.Lamsingi ni Maombi kama walivyo kuwa wakiomba wana Israel wa mwanzo.Ipo siku waonevu watavuliwa nguo hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANENO kuntu walahi
 
Ulicho kitamani kitakufikia wewe tu nyumbani kwako na kizazi chako milele yote walahi!
With Almighty One speed!
 
Kupiga marufuku, mlie tu,atakayepiga cha moto atakiona.
Hoja za msingi zimewakaukia kweli kweli. Yamebaki matamko, vitisho na maigizo yasiyomsaidia hata huyo mnyonge mnaemuimba kila kukicha. Yabidi kuvunja katiba na kutegemea Polisi na NEC ili kulazimisha "kuonekana" mnakubalika.
NDIVYO walivyofanya makaburu walokuwa na maguvu mara 1,000,000 kuliko nyie nao pamoja vibaraka wao walokuwa wanaimba mapambio na kusifu ukandamizaji wao, walitoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
Acha matusi, umeambiwa ufafanue. Kwani watu wengine tunaona mambo mazuri tu kwa vile tunachapa kazi, nyie mnaosubiri serikali iwawekee fedha mfukoni mtalalamika sana awamu hii. Niwakumbushe kuwa, JK siyo aliyetuchagulia JPM, huyu tulimchagua kwa kuona watu mlikuwa mnachonga sana wakati wa JK. Ohoo dhaifu, anakumbatia mafisadi, hali ni mbaya sana kwani umasikini unaongezeka, tofauti ya walichonacho na wale hawana inaongezeka, na maneo mengi yasiyoelezeka. Sasa mnaipata, na mtalalama hadi 2025. Kaza kamba JPM, kama watawala wetu wa zamani, Waingereza wanakukubali King'oso wako, achana na wabongo wanaokimbilia kwa Trump ambaye amewekwa mfukoni na Putin
 
Mkuu nakushauri nenda ukapate mafunzo ya JKT kwanza maana ukitoka huko kuna mawili
1. Utakiamsha bila kuja humu kupiga ukelele
2. Utajifunza nini maana ya uzalendo na ngebe itakuisha, haya mambo ni ya daftali na kalamu tu
 
Ulicho kitamani kitakufikia wewe tu nyumbani kwako na kizazi chako milele yote walahi!
With Almighty One speed!
Kweli Mkuu jamaa anachotamani si kitu kizuri,msongo wa mawazo,masumbufu ya maisha,kutokufikia malengo binafsi,kukatishwa tamaa,kushindwa kutimiza mahitaji na hali mbaya ya kisiasa(political instability) mara nyingi hutusababisha watu wengi na hasa sisi vijana kufikia hatua ya kuwaza haya. Hatufikirii wahanga wakuu Mara chache sana huwa si sisi(maana tuna nguvu, bali)
- Wanawake
- Watoto
- Wazee
Tujitahidini kuifanya dunia iwe sehemu salama,hata kama wengine hawafanyi sisi tufanye kwa nafasi yetu!!.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu alishaiacha Africa we uoni yatendekayo Africa, lawama ziwafikie waliodai Uhuru ndo wametuletea shida hizi,umasikini, njaa, ujinga, ufisadi, maradhi,heri hata wangewaacha wakoloni weupe watawale kuliko hawa weusi waliotuletea shida za kila aina Africa nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…