Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Things went astray since the disintegration of mtandao of boys to men when Lowassa was forced to resign. Union of people with hidden agenda could not survive . They parted and here we are. Whom should we blame. Probably we are returning on the right track. Doubtful?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni watanzania wachache sana wanajua kuwa kama Taifa tulikwenda mrama siku Lowasa alipojiuzulu. Siyo kwamba Lowasa alistahili kuwa Rais, hapana. Ila kitendo cha kujiuzulu kwake kilisababisha ufa mkubwa kwenye mtandao wao kitu ambacho kiliwafanya watengeneze mtandao doto na kuwapa tahadhari kuliko awali.. Tahadhari iliyojengwa hapa ndio iliyosababisha kupewa Jiwe nafasi kwa hofu ya kupoteza kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mkuu jamaa anachotamani si kitu kizuri,msongo wa mawazo,masumbufu ya maisha,kutokufikia malengo binafsi,kukatishwa tamaa,kushindwa kutimiza mahitaji na hali mbaya ya kisiasa(political instability) mara nyingi hutusababisha watu wengi na hasa sisi vijana kufikia hatua ya kuwaza haya. Hatufikirii wahanga wakuu Mara chache sana huwa si sisi(maana tuna nguvu, bali)
- Wanawake
- Watoto
- Wazee
Tujitahidini kuifanya dunia iwe sehemu salama,hata kama wengine hawafanyi sisi tufanye kwa nafasi yetu!!.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeongea kiweledi zaidi mi nadhani tusimlaumu tu mleta mada bali atufanye kushtuka na kupata picha kuwa kadri hao waovu wanavyizidi kuharibu taifa hili vijana wengi wanafeli maisha na kufikia kukata tamaa kwa kuwa hawana kitu na hivyo wapo wengi na wanaongezeka wenye mitazamo hiyo japo hawajitokeza kwenye kibodi bado ila siku wakiongezeka huko mbele hayo aliyosema huyu kutokea haitakuwa jambo lisilowezekana tena!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwete alikuwa wa ovyo, na huyo aliyemleta ndio ovyo zaidi.
Watu wenye Akili tulimkataa Kikwete na pia tulimkaa jiwe, maana tulijuwa wazi kuwa uwezo wao wa kuongoza watu ulikuwa sifuri.

Kilichotokea ni kulazimishwa tu kupewa hata tusiyemtaka.
 
Mnaodai hamzungushi mikono tuambieni tunaelekea wapi kiuchumi? Binafsi najaribu kumsoma sielewi hata taifa la viwanda hakuna hatua zozote za tofauti za kumjulisha mtu kwamba tunaelekea kwenye viwanda,tupotupo tu
Mnaelekea wapi wewe na nani? Kwani awamu zilizopita mlikuwa mnaelekea wapi? Na mlifika?

Unadhani America inaelekea wapi

Ikiwa mtu alikuwa anasafiri masaa 12 Sumbawanga hadi Mpanda ila sasa anatumia masaa matano ukimuuliza hili swali unategemea jibu gani. Ikiwa Uvinza huko watu hawakujua kitu kinaitwa umeme ila leo hadi kwenye nyumba zao za nyasi upo ukiwauliza hivi watakujibu nini?

Kwahiyo kila mtu anaona kulingana na mtazamo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo kwenye kilima dereva hajui kubadilisha gia, gia alioanza nayo imechoka na sasa gari inaanza kurudi nyuma kwa spidi. Mbaya zaidi hata dereva mwenyewe hajui Kama gari inarudi nyuma
 
Mwanadada Mange Kimambi alitutahadharisha ya kwamba tusipo itikia with wake wa kufanya maandamano nchi nzima tutakiona.

Sasa tunayaona, tunaonja joto ya jiwe.
  1. Maaskofu wanaitwa ikulu kuonywa.
  2. Wateule wanaonywa wasiwe neutral.
  3. Rais anatamka hadharani kwamba wapinzani watapata tabu sana.
  4. Rais anatamka mbele ya kamera kwamba angeanza kumpa kipigo shangazi wa waziri mkuu endapo vurugu za korosho zingetokea mikoa ya kusini.
  5. Sasa kubwa kuliko hakuna tena chaguzi. Wakurugenzi ni mwendo was kuleta vituko juu ya vitimbwi.

Kuna haja yq kumuomba Dada Mange Kimambi ahamasisahamasishe tena maandamano halafu tujitokeze kwa wingi ili kuondoa uozo huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom