MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Nitamtafuta Jessica kwa udi na uvumba nimwambukize mimba afu nimkache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikukamata wanakuweka kinyumba ukitoka huko mwenyewe unaita press conference kutangaza kuunga mkojoNitamtafuta Jessica kwa udi na uvumba nimwambukize mimba afu nimkache
Hawatanikamata, maana kabla ya tukio hilo nitatafuta bench la ufundi la maana. Yule lazima nimpe jimimba ahangaike nalo hakyananiWakikukamata wanakuweka kinyumba ukitoka huko mwenyewe unaita press conference kutangaza kuunga mkojo
Manunuzi yasiyofaa,sawa.Sasa awamu ya rais yupi ilikuwa na manunuzi yanayofaa,awamu ya pili tatu,nne au tano?
Asiangaliwe tu,ila tuwe realistic.Anapostahili kusifiwa tumsifu na anapohitaji ushauri tumshauri.Siamini kwamba kila analofanya JPM ni baya,infact ana mengi mazuri kuliko mabaya.Binafsi kwa nini nisimpende JPM jamani,nyumbani kwangu shida ya umeme na maji leo ni historia!Kwahiyo sababu waliopita walikuwa wapumbavu na huyu akifanya undezi tumwangalie tu
sijui umeongea nini hapa.....swala la barabara ni jambo ambalo hata dr.shika akiwa rais atalifanya maana ni plan ya mda mrefu sana na usishangae hzo barabara ulizoztaja hapo zimekuwa kwenye plan tangu zama za mkapa. Swala ni je vipaumbele vya bwana yule vinaelewekaje? Je vinalenga kumtoa mtz kwenye umaskin?.....imagine ununuz wa ndge je uliidhinishwa na bunge? Na je tangu zmekuja mkulima wa huko nzela ananufaika vp ilhali atcl inapata hasara kila uchwao.....bei ya mfuko wa mbolea,cement,sukari n.k inakamatka?...wakulima je wanapatiwa masoko ya nje na ndan.....sector ya viwanda pa1 na hvyo viwanda tulivyoahdiwa vikwap?.....kijijin huko kuna maj, hospitali na zahanat je kuna dawa zakutosha na vifaa tiba,elimu je imeboreshwa kwa upatkanaj wa vifaa vyakufundishia n.k ujue v2 vingne bwn sio ad uende ulaya kujfunza nikuchekecha akili tu kwenye kukdh mahtaj ya m2 wa chini.....leo hii ukienda kuwauliza wananchi wa buzebazeba kati ya reli na maj kipi kianze utaskia jibu lake....au uwaulize wakaz wa muleba huko kat ya ndege na kuwataftia soko la mazao yenu kip kianze...TATIZO NI VIPAUMBELE VYA BWANA YULE😄😄😄Mnaelekea wapi wewe na nani? Kwani awamu zilizopita mlikuwa mnaelekea wapi? Na mlifika?
Unadhani America inaelekea wapi
Ikiwa mtu alikuwa anasafiri masaa 12 Sumbawanga hadi Mpanda ila sasa anatumia masaa matano ukimuuliza hili swali unategemea jibu gani. Ikiwa Uvinza huko watu hawakujua kitu kinaitwa umeme ila leo hadi kwenye nyumba zao za nyasi upo ukiwauliza hivi watakujibu nini?
Kwahiyo kila mtu anaona kulingana na mtazamo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiangaliwe tu,ila tuwe realistic.Anapostahili kusifiwa tumsifu na anapohitaji ushauri tumshauri.Siamini kwamba kila analofanya JPM ni baya,infact ana mengi mazuri kuliko mabaya.Binafsi kwa nini nisimpende JPM jamani,nyumbani kwangu shida ya umeme na maji leo ni historia!
Sikatai kwamba tusijisifu kwa kulipa kodi,tujisifu,tena sana.Lakini kwani awamu ya pili,tatu na nne hatukulipa kodi,si tulilipa lakini zilifanyia nini, jamaa si walizipiga na ndugu zao,marafiki zao mashemeji zao nk.nk.Sasa kwa nini tusimsifu huyu ambae angalau hata matumizi tunayaona,hata kama according to some of us, sio priorities?Awamu ya pili,ya tatu na nne hata hayo ambayo wengine mnasema sio priorities mbona hatukuyaona.Magufuli si angeamua kuwa kama hao wengine akazipiga kodi zetu tuu,mbona tumekosa shukrani jamani,sisi ni wanadamu wa aina gani?Kwako ni wapi? Je aliyejenga barabara nae unamsifu aliyejenga hospitali karibu na kwako ulimsifu kwanini tulazimishane nyimbo za kusifu mtu mmoja na kusahau kazi zilizofanywa na wengine. Kwanini tusijisifu pia wananchi kwa kulipa kodi
Sikatai kwamba tusijisifu kwa kulipa kodi,tujisifu,tena sana.Lakini kwani awamu ya pili,tatu na nne hatukulipa kodi,si tulilipa lakini zilifanyia nini, jamaa si walizipiga na ndugu zao,marafiki zao mashemeji zao nk.nk.Sasa kwa nini tusimsifu huyu ambae angalau hata matumizi tunayaona,hata kama according to some of us, sio priorities?Awamu ya pili,ya tatu na nne hata hayo ambayo wengine mnasema sio priorities mbona hatukuyaona.Magufuli si angeamua kuwa kama hao wengine akazipiga kodi zetu tuu,mbona tumekosa shukrani jamani,sisi ni wanadamu wa aina gani?
Sikatai kwamba tusijisifu kwa kulipa kodi,tujisifu,tena sana.Lakini kwani awamu ya pili,tatu na nne hatukulipa kodi,si tulilipa lakini zilifanyia nini, jamaa si walizipiga na ndugu zao,marafiki zao mashemeji zao nk.nk.Sasa kwa nini tusimsifu huyu ambae angalau hata matumizi tunayaona,hata kama according to some of us, sio priorities?Awamu ya pili,ya tatu na nne hata hayo ambayo wengine mnasema sio priorities mbona hatukuyaona.Magufuli si angeamua kuwa kama hao wengine akazipiga kodi zetu tuu,mbona tumekosa shukrani jamani,sisi ni wanadamu wa aina gani?
Ila nayo hii inauma sana wajameni.Aamue mara ngapi unajua 1.5Trillion ilipo?
Kulinganisha awamu ya nne na tano ni sawa na kulinganisha kifo na usingizi mkuu.The fifth phase government has been with us for only 2.5 years, but what it has already done is phenomenal,sio kwenye miundo mbinu tu,lakini kila eneo,wakitimiza miaka kumi kama serikali ya Vasco itakuwaje?Sipati picha kwa kweli.Kuna awamu iliyoboresha miundo mbinu kuliko awamu ya nne?
Unaweza kuwa na ahadi nzuri, ilani nzuri, lakini unapotenda huangalii hivyo vyote. nadhani ndio kiini cha hojaKuna thread humu inaelezea ahadi za Magufuli nenda kaisome > Tukumbushane ahadi za Magufuli
Halafu kuna Ilani ya CCM nenda kaisome pia > PDF: Ilani ya chama cha mapinduzi 2015-2020
Halafu rudi hapa uje kutuuliza ambacho hujakielewa..