nyamatala.
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 266
- 134
Utakubari tu huu mziki ni wa watu wazima ubongo wa freva kaeni pembeni unawazidi umri kulia lia kwingi unapotamka kanda ya ziwa unazungumza wasukuma.Kama hotuba ni ya Jana basi usishangae alikua na washamba wenzake wa Bariadi/simiyu,yani wasukuma wenzake wa nkoa wa simiyu
Hali si nzur kabsa tunakoelekea binafsi naona Giza tuTutaelewa tuu
Muda utasema, tuvute subraHali si nzur kabsa tunakoelekea binafsi naona Giza tu
kinachoendelea nchini Mungu tu ndo anajua wapi Tanzania inaelekea kama ni ktk maziwa na asali au ktk GIZA NENE NA MATESO.
Kuna magazeti kadhaa yamefungiwa kama mawio, mwanahalisi na serikali kwa uchocheziok uchochez haufai
BUT KUNA MAGAZETI KAMATANZANITE, JAMHURI NK YANAANDIKA MAKALA AMBAZO ZIPO ZA UCHOCHEZ KWA JAMII LAKINI SERIKALI INAYANGALIA TU.
Kuna watu baadhi wanachezea amani yetu lazima tuwakemee bila kujali itikadi ya vyama, dini wala kabila.
Naona kama vile Tanzania inatoka kwenye reli na kwenda chaka.
God please bless our country Tanzania
VyovyoteHii ni tetesi au utabiri wako?
"All animals are equal but there some animals who are more equal than others" animal farm hiyo ndo Tznia ya JPM.kinachoendelea nchini Mungu tu ndo anajua wapi Tanzania inaelekea kama ni ktk maziwa na asali au ktk GIZA NENE NA MATESO.
Kuna magazeti kadhaa yamefungiwa kama mawio, mwanahalisi na serikali kwa uchocheziok uchochez haufai
BUT KUNA MAGAZETI KAMATANZANITE, JAMHURI NK YANAANDIKA MAKALA AMBAZO ZIPO ZA UCHOCHEZ KWA JAMII LAKINI SERIKALI INAYANGALIA TU.
Kuna watu baadhi wanachezea amani yetu lazima tuwakemee bila kujali itikadi ya vyama, dini wala kabila.
Naona kama vile Tanzania inatoka kwenye reli na kwenda chaka.
God please bless our country Tanzania
bUmesema kweli kuwa kinachoendelea TZ ni Mungu anajua. Naamini ulimaanisha Mungu wa Mbinguni ambaye anaona kinachotokea na kitakachotokea. Pia naamini unamwamini huyo Mungu na sio miungu. Kama ni hivyo Mungu akubariki Sana na akufunulie uone nchi yetu ilielekea kwenye neema kwa speed kubwa ambayo haijawahi kutokea toka Uhuru December 1961.
Naamini Mungu Wa mbinguni japo Mungu Wang yamkini yupo tofauti na wako kwani wangu ni Mungu Wa haki, hapendi damu ya mtu imwagike hovyo, hapendi dhuluma, hashiriki na binadamu yeyote utukufu wake,Umesema kweli kuwa kinachoendelea TZ ni Mungu anajua. Naamini ulimaanisha Mungu wa Mbinguni ambaye anaona kinachotokea na kitakachotokea. Pia naamini unamwamini huyo Mungu na sio miungu. Kama ni hivyo Mungu akubariki Sana na akufunulie uone nchi yetu ilielekea kwenye neema kwa speed kubwa ambayo haijawahi kutokea toka Uhuru December 1961.
Nasikia Mwandiga pamoja na ufundi wao wote, hawana uwezo wa kumuingiza mtu IKULU😯😯24 hrs inasubiriwa mwandiga will shut them down nacheka huku nalia ujue Kigoma one haendi mahakamani just wait and see naona wameanza kuweweseka .Hata wanaojulimana mwandika neeee haguswi chezea Kigoma one naota tu
Pasco asikoment Uzi wowote unaokemea madhambi nchini maana nayeye ni sehemu ya watetezi wa madhambi atakuwa mnafiki aki like uzi huu wakati kule amechafua hali ya hewakinachoendelea nchini Mungu tu ndo anajua wapi Tanzania inaelekea kama ni ktk maziwa na asali au ktk GIZA NENE NA MATESO.
Kuna magazeti kadhaa yamefungiwa kama mawio, mwanahalisi na serikali kwa uchocheziok uchochez haufai
BUT KUNA MAGAZETI KAMATANZANITE, JAMHURI NK YANAANDIKA MAKALA AMBAZO ZIPO ZA UCHOCHEZ KWA JAMII LAKINI SERIKALI INAYANGALIA TU.
Kuna watu baadhi wanachezea amani yetu lazima tuwakemee bila kujali itikadi ya vyama, dini wala kabila.
Naona kama vile Tanzania inatoka kwenye reli na kwenda chaka.
God please bless our country Tanzania
Kwa nini hiyo neema ije na chuki na visasi?Umesema kweli kuwa kinachoendelea TZ ni Mungu anajua. Naamini ulimaanisha Mungu wa Mbinguni ambaye anaona kinachotokea na kitakachotokea. Pia naamini unamwamini huyo Mungu na sio miungu. Kama ni hivyo Mungu akubariki Sana na akufunulie uone nchi yetu ilielekea kwenye neema kwa speed kubwa ambayo haijawahi kutokea toka Uhuru December 1961.
Umenena Leo hii watawala wanahubiri amani huku wakiwa Wa kwanza kuivunja kwa kauli, ubaguzi nk hii ni zaidi ya hatari, watu kama musiba wanachafua nchi kwa propaganda zao hakuna Wa kumkemea namfananisha na mtangazaj mmoja Wa radio ya Rwanda wakat Wa mauaji alikuwa mnoko kama musiba.Kwa nini hiyo neema ije na chuki na visasi?
Hivi barabara au reli haiwezi kujengwa mpaka watu watumie nguvu kubwa kuwanyamazisha wengine ili hali wanaovunja SHERIA na katiba wanaonekana wazi kabisa.
Umefuatilia wanayofanya baadhi au karibu maDC wote na wakurugenzi hasa maeneo yenye wapinzani wengi.
Nikuulize swali hivi Arumeru,Hai ,Monduli ni maskini kuliko wilaya ya Mafia ,Kilosa na Wilaya karibu zote za Mikoa ya Dodoma na Singida? Sasa jiulize yanayoendelea huko ni kusaka maendeleo na kama ni kusaka maendeleo kwa nini yasifanyike kwenye wilaya na mikoa maskini sana. Kwa nini yafanyike Hai ambapo maendeleo yapo juu?
Maendeleo ya vitu hayamsaidii MTU wa kawaida kamwe ndio maana tuliwaondoa wakoloni waliokua na Uwezo wa kuifanya Afrika iwe zaidi ya ulaya mana tulihitaji maendeleo ya wananchi kwanza. Wananchi wapate ajira zinazoweza kuwapa heshima na sio utumwa, wananchi waweze kuanzisha mashirika na biashara zao kubwa kama wahindi na sio kuwa omba omba kwa watawala, wananchi waweze kulima na kupata masoko yao.
Hatukutafuta Uhuru ili kujenga mfumo wa kikoloni zaidi unaojenga chuki mana itafikia mahali watu hawatasalimiana kwa sababu ya kutendewa ukatili na ndugu zao ambayo wanalipwa mamishahara makubwa kwa kodi wanazokamuliwa wanyonge.
Vyeo vya uteuzi vimekua ni jehanamu kwa mataifa ya Afrika .
Wanateuana kwa maelfu kama rushwa kwani wenye mavyeo ya kuteuliwa wanalipwa mamilioni tofauti na watu wenye Taaluma zao.
MTU anateuliwa hana Cheti na analipwa mshahara Mara kumi ya MTU mwenye taaluma. Kwa hiyo kumfukuza mwalimu mmoja anayelipwa laki NNE na kumwacha Mteule mmoja asiye na cheti anayelipwa Mara kumi na tano zaidi ya mwalimu ni dhambi kubwa na unyonyaji mbaya kuwahi kutokea duniani.
Tulete maendeleo endelevu sio maendeleo yanayowaacha wanyonge wakiwa maskini zaidi huku watawala wakizidi kuwa mabepari kwa mamishahara makubwa na maslahi manono na wengine wakikwepa mpaka kodi.
Wakati wa A 1 nchi ilikua gizani na redio moja ikitangaza propaganda kila siku Watu wakajiona wameendela sana kumbe nchi iko nyuma sana baada ya vyombo vya habari kuwa huru A 2 ndipo watu walipobaini kuwa wananchi wa chini ni maskini sana. Ndio maana mpaka Leo familia zenye unafuu ni za watawala tangu awamu ya kwanza. Wakoloni ambayo walisoma enzi za mkoloni ndio waliogeuka na kutuwekea SHERIA zile zile za mkoloni na mpaka Leo zinaendelea kutumika kuwafanya watawala kuwa kama wamiliki wa nchi huku wananchi wakiwa kama watumwa wao.
kinachoendelea nchini Mungu tu ndo anajua wapi Tanzania inaelekea kama ni ktk maziwa na asali au ktk GIZA NENE NA MATESO.
Kuna magazeti kadhaa yamefungiwa kama mawio, mwanahalisi na serikali kwa uchocheziok uchochez haufai
BUT KUNA MAGAZETI KAMATANZANITE, JAMHURI NK YANAANDIKA MAKALA AMBAZO ZIPO ZA UCHOCHEZ KWA JAMII LAKINI SERIKALI INAYANGALIA TU.
Kuna watu baadhi wanachezea amani yetu lazima tuwakemee bila kujali itikadi ya vyama, dini wala kabila.
Naona kama vile Tanzania inatoka kwenye reli na kwenda chaka.
God please bless our country Tanzania[/QUOTE
Ungetaja Tanzania Daima na Raia Mwema ningeona unachoongelea kina maana ,lakini kwa sasa umeleta udaku kwa kuaacha kutaja haya magazeti mawili.
[/QUOT
Milembe inakuhusu
Yani mbwembwe zote kumbe lengo ilikuwa mtuletee Upako tu humu! Anyway, kuna jukwaa lake ingieni huko mkahubiriNaamini Mungu Wa mbinguni japo Mungu Wang yamkini yupo tofauti na wako kwani wangu ni Mungu Wa haki, hapendi damu ya mtu imwagike hovyo, hapendi dhuluma, hashiriki na binadamu yeyote utukufu wake,
PIA ATARUDI MARA YA PILI KAMA ALIVYOAHIDI