Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
A.alleikhum mabibi na mabwana,nisiwachoshe sana na utangulizi,kama title inavyojieleza
Nimekua nikisikia kauli za kukombolewa/kutetewa/kusaidiwa kwa mwananchi mnyonge toka mwishoni mwa mwaka 2015,nguvu inayotumika kumuanisha mnyonge anayetetewa/kusaidiwa na utawala ni kubwa kuliko uhalisia,yani hata mnyonge hajui kama anatetewa/kupatiwa unafuu wa maisha,huyu Mnyonge ni yupi?
Naona gharama za maisha zinapaa,bidhaa muhimu zikipanda bei,vifaa vya ujenzi havishikiki,wakulima wanalia na pembejeo na masoko ya mazao yao,gharama za matibabu na upatikanaji wa dawa muhimu,watumishi wanyonge mfano walimu,askari na kada zingine maisha yao sio siri,wengi wanasema wanamkumbuka Mkwere...haya na mengine mengi yananifikirisha kutaka kumfahamu huyu mnyonge...
Au kama yumo humu JF ajitokeze tumjue..
Labda jingalao
 
Mnyonge ni yule pale Monduli alipigwa jua kumchagua Kalanga, baadae Kalanga akajiuzulu kuunga juhudi na kurudia uchaguzi, mnyonge huyo tena akaenda kuchomeka jua kumchagua.
 
Bado tu amjaona Tunakokwenda? Nchi yenye nidhamu ya pesa za serekali. Wananchi kulipa kodi hili kupata maendeleo...... nchi yenye kuambia kitu na mara moja kuelewa
 
Mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuhukumu na kusamehe! Yeyote afanyaye kinyume aenda kinyume na maandiko na atahukumiwa kwa hayo.
 
Wapo ili walipwe kodi zenu mengine kila mtu apambane
 
Hii ni kutokana kwa kuchezea hela za walipa kodi hovyo hovyo . Pia uwezo wake mdogo wa kiutawala. Pia chuki wivu husda majigambo nyodo. Pia kugawanya watanzania kikanda na kikabila. Pia wizi wa matrillioni. Pia kuudondosha uchumi maksudi nakufanya hali ya watanzsnia wengi kuwa ya ufukara ilhali yeye na genge lake wachache wakifaidi keki ya taifa. Pia kunyanganya mke wa mtu

ISIS johnthebaptist thetallest
 
Wewe ndo wananchi au
 
Politics is an art of making your selfish desires seem like national interest
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom